Ajali Daraja la Kinyerezi, Daraja halipitiki

Ajali Daraja la Kinyerezi, Daraja halipitiki

Hapo unaweza kuta dreva hayupo kamuachia gari tingo,
Walivyo na akili za kuku wao wanajua kukanyaga mafuta tu😱
 
Naanza kuwa na mashaka kuwa hata Mungu akishuka mwenyewe kuja kututawala Watanzania itamchukua miaka zaidi ya elfu kutuweka sawa!
 
Hivi hili ni la muda au ni lile jipya wanalojenga?
 
Huu ni mchezo tu watu wanapiga hela aiingii akilini eti ata mwaka haujapita,watu wanarudia makosa yale yale ulizingatia wanakuwepo walinzi hapo darajani kila cku.!!
 
Tena? Kupima madereva akili ni muhimu.
Wnawapima mama wakati wa kuwapa leseni lakini inaelekea hata hao wapimaji nao wanatakiwa kupimwa. Sijui watapimwa na nani maana zile vetting zinazofanyika 'live' kwenye TV kama ilivyo wenzetu hapa zimekataliwa, ni 'mamlaka ya uteuzi' tu inayojua ni nani anafaa!

 
Kwa mara nyingine Lori la zege limepita juu ya Daraja la mda la majumba sita na kulidondosha chini iila kwa bahati nzuri hakuna majerui katika ajali hiyo
 

Attachments

  • IMG-20150307-WA0004.jpg
    IMG-20150307-WA0004.jpg
    109.8 KB · Views: 425
hivi hilo darja ni la mbao mbona ikitokea hata kamvua kidogo linashuka
 
Kuna njia mbadala hapo pembeni ya daraja, kwa nin hyo dere asingepita pembeni na mlôri wake??----- kweli hyu dere ni -----!
 
Kuna njia mbadala hapo pembeni ya daraja, kwa nin hyo dere asingepita pembeni na mlôri wake??----- kweli hyu dere ni -----!

Tatizo viroba original vya manzese!!!ndio maana nimeviacha mm!!
 
Hiyo gari iuzwe kampuni ifilisiwe kulipa gharama dereva apigwe kipigo cha paka mwizi......shenzi taipu..........hivi hizo gharama za kurepair analipa nani..........pumbavu sana.......
 
Naomba kuuliza, hivi Tanzania hatuna utaratibu wa kuweka bima kwenye miundombinu muhimu kama hiyo?
 
No kibao kinacho unye sha uzito kipo tatizo ni loli kwan hii ni mara ya pili mwanzo kontena ambayo imepakia matofari nalo pia lilianguka sasa hapa ndo utakapojua watanzania ni wahalibifu sana tena sana. Halafu sisi wachangiaji mada ni wazur wa kulaumu selikali ni sawa kwa kuwa ndo inaongoza nchi lakini hapa mwaenyekulaumiwa ni mwenye loli. Daralaja hili ni la muda huku lingine ambalo nahisi ndo kubwa likijengwa. Nahisi wtz tuna matatizo na vitu vyetu kuvitunza kwan morogoro loard mpaka wameweka vipimo na bado watu wanazidisha vipimo kwenye marori labda wangekaa askri labda na hata hivo na rushwa ingetoka.
 
Back
Top Bottom