Recent content by CHANGEZ

  1. C

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    Mlikuwa mnalipwa Tsh. ngapi Mkuu, hiyo kazi siyo ya kitoto. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. C

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa Korosho wamshukuru Rais Magufuli wauza tani 50,000, Anna Abdalla atoa onyo kwa wanunuzi

    Duh!.. Hizo propaganda za viwango vya rami. Kulikuwa na tani 9,000 amejitokeza mnunuzi mmoja tu nae amenunua tani 200 tu, kwa Tsh. 3001 kwa kilo. Sijui tunapotosha kwa kiasi hichi kwa faida ya nani?.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji Julius Nyerere International airport wachafuliwa kimataifa

    Badilisha heading mkuu, hawajachafuliwa, wamejichafua wenyewe.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mbunge wa Ukerewe, Joseph Mkundi(CHADEMA) ajiuzulu Ubunge

    [emoji4] [emoji4] Waliokosa taa za uokoaji saa moja usiku na kusitisha uzoezi hadi kupambazuke.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atakuwa Waziri Mkuu kwa miaka kumi?

    Jambo usilolijua ni kama usiku wa Kiza.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mtatiro aanza 'kufaidi mafanikio' hata kabla ya kujiunga rasmi CCM

    Bora hakupata sasa hivi tungekuwa tunarudi kwenye uchaguzi mwingine tena.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Maagizo toka juu yamemshinikiza CAG kutengua kauli kuhusu deni la Taifa?

    Nimeona Zitto anamuita Bashite Naibu Rais.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Android Tv Boxes (4K Players)

    Mkuu vipi hazina shida ya kugandaganda?.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Dimba la Taifa: Yanga Africans yatakata kwa ushindi wa goli 3-0 dhidi ya Kagera Sugar

    Mnaongoza ninyi kina nani na mnaongoza kwa goli ngapi?.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya mtandaoni yamponza Mbunge Lwakatare; azuiliwa kufanya mkutano

    Kumbe hali ya usalama katika nchi yetu sio nzuri. Mungu atusaidie hali irudi kawaida.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kipi tufanye Wasabato mnatuchanganya!

    Mkuu ningeshangaa sana kama usingeonekana katika uzi huu.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa Citizen Tv, Swaleh Mdoe atangaza kuuza figo ili alipe madeni

    Vipi moyo hauzi?!.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Licha ya CCM kuwa chanzo cha umasikini, ujinga, rushwa na ufisadi, kwanini CCM bado huwa inashinda chaguzi mbalimbali?

    Mkuu Paskali, kwa hicho kichwa somo tu nimekupa like, nitakuja kusoma baadae kabla ya kukuongezea like zingine.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Serikali kulipa madai ya Watumishi wa Umma, yatalipwa February pamoja na mshahara! Soma hapa majina..

    Majina kujirudia mara 2, ina maana huyo muhusika ana madai ya aina 2 tofauti na sio tatizo.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Chama cha wanasheria Wasabato ni hatua moja kuelekea utengano katika jamii kwa minajili ya dini

    Mkuu hivi Wasabato, walikufanya kitu gani?.
Back
Top Bottom