Recent content by change2015

  1. C

    Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

    Acha wawavizie tu maana wa Tz wakiambiwa wanatembelewa taanzakuandaa porojo kibao. Kwa awamu hii hatutaki tabia za kikekike kama JK.
  2. C

    Tathimini: Siku 10 za kampeni ya Dr. John Magufuli

    Hata mgonjwa akiwa anakaribia kufa huwez mwambia eti utakufatu. Hahahaaa Mtoa mada atembelee voting polls za kwenye mitandao aone kura za maoni.
  3. C

    Nimesikiliza audio ya Didas Masaburi, anatakiwa kushitakiwa kwani anaratibu vijana wengine

    Jeshi la polisi sio la kuaminiwa tena kwa wananchi kama masaburi alinukuliwa ajisema alimpigia RPC akimwagiza awaachie vijana waliokamatwa. Sasa hapo kuna utegemezi tena ? Afadhali wananch waliamua kuchukua hatua ya kuwashika wale vijana baada ya polisi kiwaachia. Watanzania tufunguke macho ccm...
  4. C

    Adui yetu Namba Moja ni Umasikini!!

    Tatizo ni mfumo
  5. C

    Ulaghai wa CCM na Magufuli umefika mwisho, Umma umekataa!

    Mwaka huu ni wa mabadiliko
  6. C

    Magufuli: Nazijua shida za Watanzania

    Ccm bana wanakaz mwaka huu magufuli hauziki
  7. C

    Lowasa aanza kuwachezea rafu CHADEMA, alazimisha atengewe nafasi 30 za Wabunge

    Hizo propaganda za ccm tumekushtukia huna jipya
  8. C

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Mwaka wa mabadiliko nizamu ya UKAWA
  9. C

    Kubenea kugombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia CHADEMA

    Mwaka wa mabadiliko huu safi sana cdm
  10. C

    Makao makuu CUF: Ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya ushiriki wao UKAWA

    Mkuu umesema vema tumechishwa na ccm. UKAWA inabidi wawe na umoja
  11. C

    Wazo Yakanifu: Thamani ya Lowassa Upinzani imeshuka mno, ni wakati wa Kustaafu tu!

    Lowasa amewaangusha watu wengi sana waliompata imani na itamgharim sana kuelleweka kwa watu wake kwamba kwanin haonyeshi ushirikiano wakati wao wanampa support.
  12. C

    Watanzania ni wepesi sana wa kusahau, Chukua tahadhari

    Kwel kabisaaa tunahitaji mabadiliko
  13. C

    Watanzania ni wepesi sana wa kusahau, Chukua tahadhari

    Wanashangilia Magufuli kuwa raisi au kutokana na anavyopendwa na watu. Kama mnakumbuka hakuna mtu ambaye alikubalika na kupendwa kama Dr. JK, ila alipoingia mliona alichotufanya. Don't trust in Politicians.
  14. C

    Makongoro: Lowassa sikumuona Vita ya Kagera, Labda alikuja baada ya vita kuburudisha wanajeshi

    Hahaha huyu jamaa amerithi kwa baba yake anatishaa
  15. C

    Rais Kikwete nchi imemshinda mwanzo mwisho

    Wa Tz tumechoka naserekali mbovu ya ccm
Back
Top Bottom