View attachment 278944
MGOMBEA nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema anazijua shida zote za Watanzania hivyo, atasimama imara katika kuzitatua na kuweka wazi kwamba, kwa muda wa miaka 20 aliyokaa Serikalini hakuwahi kushindwa.
Shida ya kwanza ni Laptop kwa Walimu ambayo atahakikisha kila mwalimu awe primary au secondary lazima awe na Laptop.
Shida zingine zilishatatuliwa na Raisi kikwete na Maraisi wengine waliopita, yeye atakachokifanya ni
Kuendeleza tuu., yaani " Sitawaangusha hawa maraisi waliopita" Alisema Dr. J.P. Magufuri.
Dk. Magufuli aliyasema hayo jana, wakati akizungumza na wazee na wanachama wa CCM wa Mkoa wa Dar es Salaam, baada ya mapokezi yaliyofanyika kwa kurudisha fomu ya urais, huku akibainisha kuwa, atashirikiana na mgombea mwenza wake kuhakikisha wanatatua shida za Watanzania.
Sababu tunaijua ndio, watu wanaenda kufanya tu uhakiki kuona kama mzee ataweza kufika hata hiyo october? Nusu ya watu wengine walikua wako poa kuona chama kubwa linaendelea na kazi, inshort, better the Devil you know than the Angel u just met. Amani ipo na itaendelea kuwepo endapo mtaacha fujo, manishiwa hoja mnabakia kuzomea watu tu barabarani. ni ujinga mputu.kumbuka Mrema pia alitoka CCM na bado anasubiriii.Zimekuwepo sababu kadhaa ambazo watu kadhaa wamejaribu
kuziweka hapa wakionyesha ndio chanzo cha watu kufurika
kuhudhuria uwepo wa Lowassa mahali fulani baada ya kutangaza
kujiunga na UKAWA/CHADEMA.
Ni kuwa kabla palikuwepo na kukata tamaa kwa kiwango kikubwa
kwa Watanzania kuelekea ndoto yao ya kuiondoa ccm katika
kutawala. Watanzania waliivumilia ccm kuwa inaweza kufanya
mabadiliko yake ya ndani ambayo yangeweza kuleta maisha bora
kwa Watanzania. Kusubiri kwa mabadiliko haya kumekuwa siku
zote hakufanyiki na sana sana kinachofanyika ni kuimarisha
mfumo ambao muda mrefu sana Watanzania waliisha ukinai. Mtu
anazaliwa katika mfumo huo unao mpatia umaskini hadi anazeeka
katika huo mfumo.Watanzania walifika mahali wakajiimanisha
kuwa sio rahisi kuiondoa ccm katika utaratibu huu wa kupiga kura.
Katika utaratibu huu wa amri na kanuni za Demokrasia za ccm
ambazo zimekaa kisanii. Kujua kuwa waliisha kata tamaa
Watanzania wengi wamekuwa hawaoni sababu hata ya kwenda
kupiga kura kwa muda mrefu sasa. Mfano ni mwaka 2010, walio
piga kura ni chini ya nusu ya waliokuwa wamejiandikisha.
Watanzania ni wapenda amani. Amani ya Watanzania ilikuwepo
hata kabla ya Uhuru. Mkoloni aliwakuta Watanganyika wakiwa na
amani kiasi cha kuwatia bakora huku wakiwa kimya. Hivyo
Watanganyika/Watanzania wanahitaji fulsa ili wafanye mabadiliko
ya amani na si rahisi wakalazimisha mabadiliko kwa kutumia
siraha hata uwe umewaonea kwa kiasi gani.
Mwaka 1995 wakati Mrema alipojitokeza Watanzania waliona ni
fulsa ya pekee ya kuiondoa ccm. Kwa namna ccm ilivyofanya
hakuna anayeelewa kilichitokea na kila mmoja alibaki na sababu
zake. Hata mwaka 2010 mambo yalikuwa hivyo hivyo.
Sasa ni kuwa ametokea Lowassa. Watanzania wanaona hii ni fulsa
nyingine ya kutimiza ndoto zao.
Kinacho waaminisha kuwa ndoto yao sasa inaenda kutimia ni:
1. Nyerere alisema atakaye yaleta mabadiliko ambayo Watanzania
watakuwa wanayataka atatoka ccm.
2. Watanzania wanaamini Lowassa atakuwa anajua siri ambazo
ccm huwa wanatumia kuvuka kizingiti cha kukataliwa na wapiga
kura lakini bado ikaonekana wameshinda. Watanzania wana imani
kuwa iko siri ya ushindi tofauti na kura zinazopigwa
3. Watanzania wengine hudhani huwa kuna kuzidiwa kifedha kitu
ambacho Wapinzani huwa hawana sasa wanatumaini hili Lowassa
atalitatua maana nyuma ameonyesha kuweza ktk harambee
kadhaa.
4. Mikakakati mingi ya kushinda aliyo nayo Lowassa.
Sasa ukichanganya na kiwango ambacho Cdm wamefikia, kiwango
ambacho CDM ilihamasisha watu kujiandikisha, Watanzania
wamepata shauku ya kuyaona mabadiliko.
Ndani ya shauku hii Watanzania huwezi kuwambia chochote.
Hakuna propaganda itakayobadili mwelekeo. Sasa mafuriko
hayajaonekana subiri Kampaini zianze.
Natabiri mwaka huu pia kutakuwepo na mafuriko ya wapiga kura
kujitokeza kwenye kupiga kura.
View attachment 278944
MGOMBEA nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema anazijua shida zote za Watanzania hivyo, atasimama imara katika kuzitatua na kuweka wazi kwamba, kwa muda wa miaka 20 aliyokaa Serikalini hakuwahi kushindwa.
Shida ya kwanza ni Laptop kwa Walimu ambayo atahakikisha kila mwalimu awe primary au secondary lazima awe na Laptop.
Shida zingine zilishatatuliwa na Raisi kikwete na Maraisi wengine waliopita, yeye atakachokifanya ni
Kuendeleza tuu., yaani " Sitawaangusha hawa maraisi waliopita" Alisema Dr. J.P. Magufuri.
Dk. Magufuli aliyasema hayo jana, wakati akizungumza na wazee na wanachama wa CCM wa Mkoa wa Dar es Salaam, baada ya mapokezi yaliyofanyika kwa kurudisha fomu ya urais, huku akibainisha kuwa, atashirikiana na mgombea mwenza wake kuhakikisha wanatatua shida za Watanzania.
alinselema alija, CCM, MAGUFULI ndio habari ya mjini. Wananchi mnayo kila sababu ya kumchagua ndugu Magufuli, msipoteze wala kuharibu kura zenu, aidha kwa kutopiga kura au kumpigia kura mtu mwingine. Mm ninamuamini magufuli kiongopzi mchapakazi, muadilifu na mwenye kuwajali watu wake
wote wamehamia ukawa.
Magufuli ikiwa atachaguliwa kuwa rais ni uwezo wa kusimamia miradi ya maendeleo. Magufuli ni mtu wa namna hiyo na ametuonyesha katika sekta ya ujenzi na hasa katika eneo la barabara. Moja ya masuala ambayo nayaona kama mafanikio makubwa ya serikali ya Kikwete ni ujenzi wa barabara, ukiniuliza, nitakwambia jambo hili ndilo Kikwete anapaswa kujivunia atakaporudi nyumbani kwake pale Msoga. Lakini aliyeleta mapinduzi hayo kiusimamizi ni Magufuli.
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa ikitolewa tenda ya ujenzi wa barabara nchini Tanzania na India halafu nchi zote zikakabidhi tenda hizo kwa watoto wa marais wa nchi, kule India walau barabara ya kudanganyishia itajengwa lakini hapa Tanzania unaweza usione hata kokoto (tafsiri yangu). Dhana hiyo ina maana kwamba huku kwetu wizi na kujijazia manoti ndivyo vitu vinavyoshamiri na kwa tafsiri ya Mwalimu ilipasa Magufuli awe anaongoza kwa kuchukua noti za barabara na kuzijaza tumboni kwake, jambo ambalo limekuwa nadra kutokea na kama liliwahi kuwepo ndiyo tutajua sasa wakati watu wataanza kutoa taarifa zake kwa sababu anataka kwenda Ikulu. Kwa uwezo huu wa kiusimamizi namuona Magufuli akisimamia miradi ya serikali kwa ustadi mkubwa hata kama siyo waziri wa miradi
Amefisidi nini mkuu?shida ni huyo mgonjwa fisadi mwenye kiu ya madarakaa ovyoo
Haya ni maneno ya mkosaji, maana kiukweli mmeshakosa, yaani mmejifurugaa, mmepotea kwisha habari yenu, #hapakazitu MAGUFULI NDIYE RAIS WETU, TUNAMPENDA
Hata wewe india utaenda mbona magufuli nae ana viza ya India anaumwa nini?