Recent content by change is must

  1. C

    SUGU mahakamani leo tar.11/9/2013 DODOMA

    Tanzania kuna MAAJABU! Pinda alitoa kauli za uvunjifu wa amani hakukamatwa eti leo wanamkamata Sugu!!!? Shame on them maccm yote.
  2. C

    Mshambuliaji wa zamani wa Simba akamatwa na madawa ya kulevya...

    Ritz, we kwenye story ya madawa mbona huwa kimya? Toa mawazo yako ya nini kifanyike kuthibiti suala hii.
  3. C

    Dr Slaa na njama ya kukwepa kodi

    Jamani tuweni wazalendo na tuache unafiki. BADALA YA KUJADILI MAMBO YA MSINGI TUNALETA UDAKU USIO WA LAZIMA. NAOMBA RITZ TUELEZE NINI KIFANYIKE KUKOMESHA BIASHARA YA MADAWA YA KULEVYA...
  4. C

    Nchimbi: Kujiudhuru ni Moja ya Utawala Bora.

    Ngd wanajamii, hivi kwaniini Tanzania viongozi hawana tabia ya kuwajibika? Au ndio kulewa madaraka ya kuteuliwa? Inasikitisha sana kuona waziri huyu kutokuwajibika hasa baada ya mfululizo wa matukio mabaya. My take Bila kuwajibika hatuta komesha tabia za uzembe wa viongozi.
  5. C

    Anne Makinda: Sijapata taarifa kutoka kambi ya upinzani kuwa hawatahudhuria bungeni

    Jitu zima hovyo! Kuna haja gani ya kukaa bungeni wakati walikuweka wamepatwa janga la ccm? Shame on u
  6. C

    Kutoka Arusha: CCM waanza kuchochea udini wahanga wa BOMU mkutano wa CHADEMA

    Eti we ndio toto la m.k.uu. Hovyo kabisa. Mauroho yako yanasabisha watu wa mtwara waumizwe kwa up.u...zi w...ak.o
  7. C

    Mbowe: Wabunge wote wa CHADEMA kutokushiriki vikao vya bunge kuanzia kesho, wataelekea Arusha!

    Jibu unalo mwenyewe ambaye huoni umuhimu wa wabunge kwenda kushiriki mazishi.
  8. C

    Joshua Nassari ashambuliwa na kujeruhiwa huko Makuyuni, vurugu zatawala!

    Acha ushamba wewe ccm ndio vinara wa machafuko.
  9. C

    TATHMINI:CCM tuna wakati mgumu sana Arusha na Manyara

    Daima mioyo ya watu haiko kwa ccm tena bali shida zinawafanya kuwa karibu na ccm.
  10. C

    Kampeni za kufunga udiwani A town

    Uwingi wa watu si tija bali box la kura lithibitishe uwingi wao. Over
  11. C

    Mtake msitake Zitto ni jembe

    Bora hao lakini ww as an individual ndio hovyo kabisa. Kwani hujui siasa na mkabila mkubwa. Shame on you.
  12. C

    Mtake msitake Zitto ni jembe

    Kweli nimeani njaa mbaya sana coz mtu yuko radhi kujidharirisha kisa njaa. Nakuhurumia shabiki lakini jali uzalendo.
  13. C

    Chadema wagomea mwaliko wa Tendwa

    Hivi jina la Tendwa lina maana gani? Nauliza hivi coz tunaweza mlaumu kumbe anakuwa biased b'se of his name's meaning.
Back
Top Bottom