Recent content by chanduka

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu

    kiongozi hili zao inabidi sehemu inaitwa lumuma ndo wanalima in large scale
  2. C

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kilimo cha Umwagiliaji, Lumuma - Mpwapwa kina wakati mgumu, kivuko cha kusafirisha maji kimeharibika

    Duuuh! Kwel hatar kwa jinsi hicho kijiji kilivyo na matajiri wa vitunguu sikutegemea kuona mnalalamika wapo wakina ndugu,king na misheni wameshndwa kweli kujichanga hahahahah alafu kwenye picha hapo nimemuona neto chisemwa mpe salamu
  3. C

    JamiiForums Tanzania Wajinga Ndiyo Waliwao. CHADEMA Wanakamuliwa na Kuchangishwa Michango Halafu Viongozi Wao Wanafanyia Starehe Na Kujineemesha. Amkeni CHADEMA Usingizini

    kama watu wa mtandao tu wananchi wana hali ngumu wao wananunua flats dubai
  4. C

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini hila za Chadema dhidi ya Amani na Umoja wa waTanzania hushindwa kila wanapojaribu kuchochea chuki, ghasia, maafa, na migawanyiko?

    siku nyingine uwe unafikili hata kwa kutumia akili za kwenye kichwa cha juu na sio makalio
  5. C

    JamiiForums Tanzania Itakuwa Ni Makosa Makubwa sana kumtoa Lissu Gerezani. Atakuja Kuligawa Taifa na Kuleta Uchochezi Mkubwa na kupandikiza Chuki na Uhasama kwa Watanzania

    lucas mshamba endelea kujifariji muda c mrefu utabadili ID humu ndani
  6. C

    JamiiForums Tanzania Takukuru iingilie kati kufanya uchunguzi juu ya matumizi ya fedha yanayofanywa na Makonda na wizara ya maliasili na utalii kuleta wanamichezo nchini.

    lucas mwashambwa sometme uwe unafikilia kwa kutumia akili zako timamu usiongozwe na tumbo hao unaowashabikia wanapigwa viyoyozi we unahangaika kuwasafisha hvi ushawaza wazazi wako tabu wanazopitia huko kijijini
  7. C

    JamiiForums Tanzania Heche Ni Muongo. Mafuta Yamepanda Dunia Nzima. Hayajapandishwa na Serikali wala wafanyabiashara

    Unaweza kumuona lucas mwashamba kama mwehu kumbe yeye ndo abdul alaf sisi hatufahamu
  8. C

    JamiiForums Tanzania Sangara Ziwa Victoria: Ni Baraka kwa Uchumi au Laana kwa Ikolojia ya Samaki wetu wa Asili?

    Kiukweli hali ya uvuvi haramu kwa sasa imeshamiri kuzidi kiwango sio ziwa victora pekee hata ukiangalia kwenye mabwawa kama mtera na kidatu zile samaki asili zinazidi kutoweka
  9. C

    JamiiForums Tanzania Hizi habari kuhusu Makonda ni za kweli??

    Majina yenyew wanchelewesha kama nn wao watangaze tu
  10. C

    JamiiForums Tanzania Soko la ufuta likoje kwenye mkoa uliko?

    mwaka huu ufuta jau
  11. C

    JamiiForums Tanzania Soko la ufuta likoje kwenye mkoa uliko?

    mwaka huu ufuta changamoto sana kuanzia kweny mavuno hadi sokon
Back
Top Bottom