Yani wasichana wa Dar wanajifanya high class sana, huku wakiwa ni matapeli wa mapenzi na ni wizi tuu, hata ladha yao ni tofauti na wa mkoani, yaani imekuwa kwa Dar mpaka msichana akupe penzi kwake ni biashara.
Ukimwita mahali ni kuagiza savana, wisk, wine yaani mradi akukomoe tuu, bado asubuhi...