Mtoa mada anaongelea Marekani, hilo moja. Mtoa mada anataja ubabe wa marekani, namba mbili. Tatu anasema nani atamfunga paka kengele. sasa mimi nachangia hoja kwa kubase kwa Marekani, moja. Nimechukua vita ya pili ya Irak kuelezea ubabe wa Marekani. Tatu nataja wamarekani wenyewe ambavyo...