Recent content by chan lee

  1. chan lee

    Laptop kwa walimu wote na million 50 kila kijiji bado kitendawili.

    Mange repost! Hivi nowdays Watu wakua-brainwashed kiasi gani! Hii post nendeni kwenye ukurasa wa Instagram mange kimambi utaona uzi huu! Yule mwanamke kaachika huko, wenzetu wanajaribu kufuatilia kila kitu mtu wake achofanya sasa huyu kaachika ndo maana kaanzisha app yake ambayo ili upate umbea...
  2. chan lee

    Kuna upendeleo uchaguzi wa malkia wa nguvu Clouds

    Ushauri wa bure; Anzisha Mfalme wa Nguvu na wew uwapendelee wafalme wako..!
  3. chan lee

    Rais Magufuli atembelewa na kupewa baraka na Mtukufu Mahanj Swami Maharaj wa Jumuiya ya Kihindu

    Yaan baada ya Kujua hicho kisanamu kimetengenezwa kwa Gold, Je unatafuta sinagogi Lao ukasali kweli Au unampango na Gold ya kwenye Mungu wao..?
  4. chan lee

    Mtihana mzito

    Ukula kuku na kifaranga chake, case closed
  5. chan lee

    Ndugu zetu Wapinzani Ile Njaa ya Kufikirika Imeishia Wapi

    Sie tunasubiri episode nyingine baada ya vyeti..! Ukuta, katafunua, Njaa ni baadhi za episodes zilizotangulia
  6. chan lee

    ATCL: Miezi minne tumekusanya bilioni 9, tumetumia 80% ya makusanyo kulipa madeni

    . Msikilizeni CEO mwenyew ATCL , achaneni na hao wapinga maendeleo..,!
  7. chan lee

    ATCL: Miezi minne tumekusanya bilioni 9, tumetumia 80% ya makusanyo kulipa madeni

    Aka kweli Mtoa Post ni MAKU kweli yaani..! Nendeni YouTube/Millardayo CEO kaeleza kila kitu..!
  8. chan lee

    Hans Pope: Ni nchi nne tu zenye smelting duniani,tanuri moja tu linaweza kula nusu ya umeme wetu

    CAG summary, today; copper concentrate exports is Zero rated, yaani hapo ni hakuna kitu tunachopata Na viroba time frame ilikua toka August 2016, hawa akina Hans Pope ndo sehemu zao za kula wanatujaza tuwaunge mkono kiboya
  9. chan lee

    Kuhusu Nay wa Mitego: Hivi tunajua kazi ya sanaa, tunajua kuwa polisi hawausiki katika hili.

    Duuh itabidi admin uwe unafanya interview kwa members kabla ya kujiunga humu Jukwaani! Kuna zero brain wengi So wew unafikiri jukumu la usalama liko chini ya Nani, ok let's say partner wako amekiuka makubaliano ambayo ni halali so wew binafsi unaweza kwenda kumkamata huyo mtuhumiwa wako?
  10. chan lee

    Kuhusu Nay wa Mitego: Hivi tunajua kazi ya sanaa, tunajua kuwa polisi hawausiki katika hili.

    Acha ujuha , we unajua kwamba Nay alisaini na BASATA kwamba hawezi kutoa nyimbo yoyote bila kupitiwa na BASATA, kavunja makubaliano we ulitaka BASATA ndo wamkamate! Usiendeshwe na mihemko.!
  11. chan lee

    Jamani tusemeni tu ukweli, Mange Kimambi is a Tanzanian hero

    Duuh! Angalau ungesema your hero sio Tanzanian hero, Yule mama Hana break matusi yakianza kumtoka utadhani choo cha Uswazi kimetapika, na coz ni mama wa nyumbani hana shughuli inayomuweka busy that's y anaropoka, kwatukana hao wakurungezi wa clouds Kama kahaba aliyenyimwa pesa yake
  12. chan lee

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Hahaa Mchungaji anasema ana cheti cha Daudi A. Bashite alichozungusha.
  13. chan lee

    NUKUU ZA HASHIM RUNGWE

    Huyu mzee akianza vurugu zake . Nouma Sana .! Hahaa
Back
Top Bottom