Kabla ya kulaumu na kulia lia hebu tusome katiba yetu kwanza

Abuu Kauthar

JF-Expert Member
Jul 10, 2011
4,179
6,238
Hatari iliyopo ni kwamba tunataka inchi iendeshwe na mihemko na mitandao ya kijamii. Ebu tusome katiba yetu wenyewe inasemaje
 
Attachments

  • IMG-20170320-WA0006.jpg
    IMG-20170320-WA0006.jpg
    20.1 KB · Views: 49
  • IMG-20170320-WA0014.jpg
    IMG-20170320-WA0014.jpg
    46.5 KB · Views: 51
Hatari iliyopo ni kwamba tunataka inchi iendeshwe na mihemko na mitandao ya kijamii. Ebu tusome katiba yetu wenyewe inasemaje

Hakuna aliyemlazimisha, na wala hakuna mwenye uwezo wa kumlazimisha, kwa hiyo point yako haina mashiko. Sisi tumeshauri na utamaduni wetu kama watanzania tumezoea kumshauri rais wetu. BASI, SO HUNA POINT WEWE NDO INA MIHEMKO.
 
Hiki kilichotokea sio watu kumpa rasi ushauri au watu kutaka rais afuate ushauri wao! Kilichotokea ni mteuliwa wa rais kufanya uhalifu na watu kutaka sheria ifuate mkondo wake!
Mleta mada anashangaza kidogo, hata hajui kuwa kilichofanywa Bashite kuanzia tuhuma za jinai kwenye cheti hadi uhuni wa kuvamia kituo cha televisheni ni sheria na katiba ndizo zinamsukuma Rais kuchukua hatua kwa mteuliwa wake. Ni kama tu alivyofanya kwa DED aliyedaiwa kumtishia askari kule Morogoro. Kwa hiyo hapa wala sio suala la wananchi kumshauri au kumlazimisha, bali analazimishwa na hiyo katiba yenyewe!
 
namashak na ww je umesom uongoz japkuwa tz talent katiba iliwekwa kulinda maono ya tz na c ya watz kwan huo mwak icho kipengel kiliandkwa m nlikuwepo? ngekuwepo ngepnga coz anayeniongoza shart anicklize na aweze kuwaza mbali kushinda mm akiwaza karb namwambia iyo habar n nyues ongeza mwanga ndo man kipofu huongozwa c kwa kuwa hajui ila tuu haon
 
Hapo wapi sasa katiba imevunjwa?? Mihemko
 
Mleta mada anashangaza kidogo, hata hajui kuwa kilichofanywa Bashite kuanzia tuhuma za jinai kwenye cheti hadi uhuni wa kuvamia kituo cha televisheni ni sheria na katiba ndizo zinamsukuma Rais kuchukua hatua kwa mteuliwa wake. Ni kama tu alivyofanya kwa DED aliyedaiwa kumtishia askari kule Morogoro. Kwa hiyo hapa wala sio suala la wananchi kumshauri au kumlazimisha, bali analazimishwa na hiyo katiba yenyewe!

Kimefanywa kwa uthibitisho wa nan?
 
Hakuna aliyemlazimisha, na wala hakuna mwenye uwezo wa kumlazimisha, kwa hiyo point yako haina mashiko. Sisi tumeshauri na utamaduni wetu kama watanzania tumezoea kumshauri rais wetu. BASI, SO HUNA POINT WEWE NDO INA MIHEMKO.

Soma katiba kwanza kabla kuhemka
 
Hiki kilichotokea sio watu kumpa rasi ushauri au watu kutaka rais afuate ushauri wao! Kilichotokea ni mteuliwa wa rais kufanya uhalifu na watu kutaka sheria ifuate mkondo wake!

Mmeacha ishu ya vyeti sasa mnajadili huo mnaouita uvamizi duh
 
we em kaisome, yaan kamsemo ka vyet nakapenda UMEICHAMBUA KATIBA kam nan au kwa kuwa unajua kiswa au ungengee af unaposema MUHEMKO RUDI KWA DARASA huwez hemka kam boiz na chemia na pyscho ulikimbia

We mkenya achana na mm. Kiswahil chenyewe hujui
 
Mambo mengine sio ya kushauri, yaani mtu ameforgre vyetu halafu bado eti unamshauri rais amfukuze kazi, wakati sheria inaeleza nini kifanyike kwa mtu kama huyu.
Kwa hiyo hayo matangazo ya nacte kuhusu wenye vyeti fake ni usanii sio.
 
Kwenye katiba sijaona popote palipoandikwa kuwa mkuu wa mkoa anaruhusiwa kutumia majeshi na mtutu wa bunduki kulazimisha udaku wake upewe air time kwenye kituo binafsi cha hsbari.

Sasa mnataka Makonda aondoke kwa sababu ya uvamizi au kwa sababu ya vyeti?
 
Sikinde waliimba "mahaba yamenizidia mie, kutwa nashinda nalia....' Watu wenye mahaba yao stress ziko juu sasa! Wanahemkwa bila kujua wanajaribu kukamata kila unyasi wanaouona!!! Mfa maji hushika hata chaza akidhani ni kamba ya kuokokea!!!

Hatukai kimya tunapoona maovu Tanzania si hakimiliki ya magamba peke yao msituzamishe kwa kutoboa jahazi tukiwemo kisa mahaba yenu.
 
Back
Top Bottom