Recent content by Chamume

  1. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta mfugaji samaki

    Natafuta mdau anaefuga samaki sato naomba . tuwasiliane tubadilishane mawazo namba zangu 0768492968
  2. C

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli samaki sato anafikia kg 1 kwa muda wa miezi 6?

    Je ni kweli samaki sato ukiwafuga vizuri wanaweza kufikia kg 1 kwa muda wa miezi 6?mwenye uhakika anithibitishie hili mimi ndo nimeanza kufuga zina mwezi mmoja.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Open University of Tanzania, waliochaguliwa 2014/15

    Ya foundation yanatoka lini?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA Musoma Mjini - Septemba 22, 2014

    Mimi nipo musoma hakuna maandamo yaliyofanyika hizo picha za miaka ya nyuma acheni kupotosha watu.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la dagaa wa chakula cha kuku Dar es Salaam

    Napatikana Musoma natafuta soko la kiwanda kinachonunua dagaa ya chakula ya kuku Dar es Salaam nahitaji kujua bei ya kilo kama wapo wanaonunua wajitokeze ili tufanye biashara ndo kwanza nataka nianze ushauri pia nahitaji kwa wazoefu.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kuku wa kienyeji kuwa wa mayai

    Wakuu nashukuru sana kwa maoni yenu nimejifunza kitu kizuri sana hapa
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kuku wa kienyeji kuwa wa mayai

    Nisaidieni nataka nifanye kuku wa kienyeji wawe wanatoa mayai kila siku ili niyauze je inawezekana?
  8. C

    JamiiForums Tanzania Anatafuta kazi ana leseni ya udereva class e pia ni fundi magari.

    Anatafuta ajira ana leseni ya class e pia ni fundi magari elimu yake darasa la saba yupo tayari kufanya kazi mikoa ya pwani na dar ess salaam namba yake ya sim ni ya tigo 0717383678 kwa sasa anaishi bagamoyo wanajami huyu ni mdogo wangu anaomba msaada.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Anatafuta ajira ana leseni ya udereva class e pia ni fundi magari.

    Anatafuta ajira ana leseni ya class e pia ni fundi magari elimu yake darasa la saba yupo tayari kufanya kazi mikoa ya pwani na dar ess salaam namba yake ya sim ni ya tigo 0717383678 kwa sasa anaishi bagamoyo wanajami huyu ni mdogo wangu anaomba msaada.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ana leseni class e pia fundi magari.

Back
Top Bottom