Recent content by Chamsawah

  1. C

    JamiiForums Tanzania Top (10) Alcohol Consuming Countries in Africa

    kwa pombe za kienyeji wakwanza ni uganda Tz nafasi ya 2 Nigeria 3 congo 4 Burundi 5
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wajumbe wa viongozi Wakenya waliokwenda kuhudhuria msiba wa Mkapa, wageuza kutokana na hali ya hewa mbaya

    JPM anamtesa saana uhuru wa kunyatta aise hamkawizi
  3. C

    JamiiForums Tanzania Je, ni wakati sasa wa Jeshi letu kuwa na Technological Defense Command (Technological Warfare Command)?

    fact, na kuna military technology transfer kati yenu na kichwa ngumu wa Asia so mpo vzr kiasi fran Rest in Peace mzee maiga
  4. C

    JamiiForums Tanzania Je, ni wakati sasa wa Jeshi letu kuwa na Technological Defense Command (Technological Warfare Command)?

    umeyumba kdg nchi moja inayotoa mafunzo yenyewe ni kichwa ngumu wa middle East na hiyo moja ya Asia
  5. C

    JamiiForums Tanzania Je, ni wakati sasa wa Jeshi letu kuwa na Technological Defense Command (Technological Warfare Command)?

    Tatizo jeshi letu lina usiri saana lakini amini nakwambia hicho kitengo kipo na kwa East Africa we are the best tukifuatiwa na Rwanda (rwanda wao wanafundishwa na Israel na Russia) Tz wanapewa mafunzo na china na nchi X na Y (hizi X na Y zina vikwazo so ....)
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Iran yashambulia meli za Marekani kwa makombora makali

    sijaelewa ni mazoezi au ni uhalisia ?
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu za Kenya kupigania sana suala la Afrika kufunguliana

    JPM kawa tishio kwa marais wote wa EA anafanya marais wengine waonekane ni takataka note Kuna bwawa la umeme linakuja [emoji23][emoji23]
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu ya Watanzania kuidharau Kenya

    Rasmi tunamtunuku degree ya upumbavu
  9. C

    JamiiForums Tanzania Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

    Sometime inabidi waropoke kuficha machungu hawaamini jinsi jiwe anawaburuza
  10. C

    JamiiForums Tanzania Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

    dah acha tu sijui yule kilaza wa fb atawaambia nn watu
  11. C

    JamiiForums Tanzania Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

    Pamoja na yote leo asubuhi muheshimiwa alikuwepo kigoma full stop
  12. C

    JamiiForums Tanzania Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

    nyingi tu ila mojawapo ni kufungwa kwa barabara kuu
  13. C

    JamiiForums Tanzania Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

    kigoma kuna movement zisizoeleweka kwenye idara zote nyeti
  14. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wajumbe wa viongozi Wakenya waliokwenda kuhudhuria msiba wa Mkapa, wageuza kutokana na hali ya hewa mbaya

    Inasemekana plan yao ilikuwa baada ya mazishi hao viongozi wa Kenya wakifika nchini mwao watangaze kuwa wamepata corona, pongezi ziende kwa intelligence yetu ilizuiya hiyo njama. Hawa jamaa sijui wanapata faida gani kutaka kuiaminisha dunia kuwa Tz kuna corona?
Back
Top Bottom