Recent content by chamoyo

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni muda gani Mama anatakiwa amuachishe mtoto kunyonya?

    Miaka 2
  2. C

    JamiiForums Tanzania Must see Movies

    Deadly Prey
  3. C

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Jamvi la habari lifungiwe kwa kuandika habari za uongo kwa nia ya kumsifia Rais

    Hii ni Habari kuu ktk gazeti la leo
  4. C

    JamiiForums Tanzania Jenereta: Fahamu Aina, Matumizi Sahihi, Matengenezo na Namna ya Utunzaji wake

    Habari Wadau, Nilikuwa nina ofisi yangu sasa kutoka na kero ya umeme nataka kununua jenereta sasa sina uzoefu na majenereta kiujumla nilikuwa naomba msaada kwa wazoefu wa majenereta je ni aina gani nzuri ya jenereta naweza kununua kwaajil ya mahitaji ya ofisi yangu? NB: Ofisi yangu ina laptop...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kurogwa

    Uchawi hupo ndugu yangu, kama una imani sahihi ya dini uchawi hupo sabab umezungumzwa hata katika vitabu vya dini.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Hawa Paka Wangu Siwaelewi

    Hahahaha
  7. C

    JamiiForums Tanzania Toyota Gaia inakula mafuta sio kawaida

    Umeiona wapi Mkuu??
  8. C

    JamiiForums Tanzania Toyota Gaia inakula mafuta sio kawaida

    Bado Sijalizika, Nataka at least 1 littre per 10 km. Kama kuna chochote unaweza ukaongezea kikubwa ni kuweza kufikia lengo nililoweka.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Toyota Gaia inakula mafuta sio kawaida

    Nimefanikiwa Kubadilisha SENSOR na kwa sasa 1 littre inatembea kilometa 8.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Toyota Gaia inakula mafuta sio kawaida

    Wadau!! Nimejaribu kufatlizia matatizo ya Gari yangu ya kula mafuta isivyo kawaida na nikapata Forum moja ya GAIA sasa kuna mtu ameshauri kama ifuatavyo -; "A toyota gaia is a very good fuel server but usually when it starts consuming too much fuel eg 4kms/litre then its a simple problem and no...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Toyota Gaia inakula mafuta sio kawaida

    Habarini wadau, Nilikuwa naomba msaada wenu wa kimawazo nina gari aina ya Gaia inayotumia engine ya 3S sasa hii gari inakula mafuta sio kawaida, tumejaribu kuweka lita moja ya mafuta ikatembea kilometa 5. Tumejaribu kubadilisha spark plug lakini tatizo bado lipo pale pale. je tatizo linaweza...
Back
Top Bottom