Recent content by CHAMA NA MOGELA

  1. C

    Nimemtongoza jana, leo anataka nimtumie hela

    La yaani ulikuwa unamtongoza kuwa mke !
  2. C

    Lokassa ya Mbongo amtungia wimbo Jakaya Kiwete

    Wanachi wa tz twendeni nyuma ya Kikwete, Mwanza ,Dodoma twende nyuma ya Kikwete
  3. C

    Mabadiliko ni sasa, Iramba Magharibi

    Akili matope !
  4. C

    Mabadiliko ni sasa, Iramba Magharibi

    Mpola mayu mkankule ! Kinampanda ipi ,unashiriki vipi kuikomboa angalau kinampanda ! Watu waache kunywa tope ana kukosa zahanati
  5. C

    Mabadiliko ni sasa, Iramba Magharibi

    Safi sana ! Ila naomba WEKA CV YAKO UMEJIANDAAJE KUKABILIANA NA MWIGULU UMEWEKEZA VIPI KWA WAPIGA KURA ...SIASA ZA NYUMBANI NI NGUMU SANA (SINA MAANA YA FEDHA ) MTANDAO WAKO WA WAPIGA KURA AU KUWASHAWISHI WAPIGA KURA WAKO UKOJE NIJIBU HAYO TUSAIDIANE MAWAZO YA KUIKOMBOA IRAMBA!
  6. C

    Biashara ya Utumwa ililetwa na nani hapa kwetu?

    Nimekusoma mkuu ! Nimeonwa yamemwagwa mwa thread ya udini hapa ya tangu 2008 ! Mimi siyawezi Hata dini yangu yenyewe inanipa shida za wengine nitaziwezaje ! Nimedadisi nimejifunza huo uchambuzi wa kidini ...najotoa!
  7. C

    Biashara ya Utumwa ililetwa na nani hapa kwetu?

    Sijauliza Utumwa upo au ulikuwepo nataka kujua msimamao wa Waislam//Au Uislamu kuhusu hii phenomena ya BIASHARA YA UTUMWA ...NAONA POVU LINAKUTOKA ,ANGALIA MWENZIO ZAMIL ALIVYOJIBU KWA HEKIMA ...AFU UMEJUAJE MIMI NI MGALATIA!
  8. C

    Biashara ya Utumwa ililetwa na nani hapa kwetu?

    Sina nia mbaya wala kutaka kuzusha malumbano ! Ila nataka kujua kama Uisilam ulishawahi kutoa tamko la kulaani biashara ya Utumwa! Natambua kuwa kuna dini nyingine zimewahi kufanya hivyo kama Wakristo!
Back
Top Bottom