Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 8,939
- 6,849
- Thread starter
- #61
Kumbe ni muAnglikana ndio maana umetetea kwa nguvu zako zote, my friend you are a victim of being highly brain-washed.
Mkristu anasali katika kanisa lolote. Nimesali katika makanisa ya Anglikana, Luteri,Roman na mengineyo. Kusali Mkunazini haina maana kuwa mimi ni muAnglikana. Pamoja na kuwa mimi ni mkristu, Iddi iliyopita nilienda msikitini. Nimeomba kwenye temple za wahindu na jains. Nimetembelea stupa za mabuddhist. Nimesali kwenye msikiti wa maBaha'i. Mimi sichukii dini yeyote kama wewe. Mimi naamini wote tutahukumiwa kwa jinsi tunavyoishi na majirani zetu hapa duniani na si dini tuifuatayo.
Inaelekea haujafika hapo unapozungumzia. Nakushauri ubaki na kiarabu, hiyo lugha ya makafiri bado inakupa matatizo. Mtu hawi victim of brain-washed. Mtu anakuwa brain-washed, period. Ndiyo maana hizo website unazitumia bila kuzielewa! Kwa vile tuko hapa kuelimishana, sentensi sahihi ingekuwa: my friend, you have been brain-washed!