Recent content by CHAMA CHAMA

  1. C

    Soko la hisa la Dar laisoma namba, mauzo yashuka toka 2.9 bil to 518 mil na hisa 2.4 hadi laki 6. Uchumi wa viwanda huu

    Labda kama unataka ufafanuzi wa kina kuhusu GDP nikuelezee Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  2. C

    Soko la hisa la Dar laisoma namba, mauzo yashuka toka 2.9 bil to 518 mil na hisa 2.4 hadi laki 6. Uchumi wa viwanda huu

    Gross Domestic Product. Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  3. C

    Soko la hisa la Dar laisoma namba, mauzo yashuka toka 2.9 bil to 518 mil na hisa 2.4 hadi laki 6. Uchumi wa viwanda huu

    But jamaa communication yake tayari ameonesha kuwa tayari anawazo la biashara na anatafita partner Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  4. C

    Soko la hisa la Dar laisoma namba, mauzo yashuka toka 2.9 bil to 518 mil na hisa 2.4 hadi laki 6. Uchumi wa viwanda huu

    Hapana. Ila kwa baadhi ya nchi ni moja ya kiashiria chenye nguvu sana. Na pia soko la hisa kwamfano NYSE au NASDAQ etc ni kisababishi cha kushika au kupanda kwa currency zenye nguvu duniani kama USD etc. Ila kwa Tanzania bado soko lipo chini kiuwezo so halina impact kubwa sana. But linaashiria...
  5. C

    Soko la hisa la Dar laisoma namba, mauzo yashuka toka 2.9 bil to 518 mil na hisa 2.4 hadi laki 6. Uchumi wa viwanda huu

    Katika mabadiliko yoyote lazima kuna watakao athirika. Yes we safer lakini jamaa kajitaidi mambo mengi. Kaokoa fedha nyingi sana. Nchi hii ilikuwa imefika mahali pabaya sana. Tulikuwa tunaelekea enzi za Zimbabwe kubeba fedha kwene viroba. Watu tulikuwa hatuzalishi ila hela inapatikana. Mtu...
  6. C

    Soko la hisa la Dar laisoma namba, mauzo yashuka toka 2.9 bil to 518 mil na hisa 2.4 hadi laki 6. Uchumi wa viwanda huu

    Good logic Come27 Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  7. C

    Soko la hisa la Dar laisoma namba, mauzo yashuka toka 2.9 bil to 518 mil na hisa 2.4 hadi laki 6. Uchumi wa viwanda huu

    Number never lie brother. Washughulikiwe wale waliotoa riport ya DSE. Riport inatolewa ili stakeholders wapate kujuwa maendeleo Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  8. C

    Soko la hisa la Dar laisoma namba, mauzo yashuka toka 2.9 bil to 518 mil na hisa 2.4 hadi laki 6. Uchumi wa viwanda huu

    Watu huwa wanaongea tayari wana wazo la kibiashara likiwa limeandikwa (Bisiness Plan). That is the communication to fund providors Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  9. C

    Soko la hisa la Dar laisoma namba, mauzo yashuka toka 2.9 bil to 518 mil na hisa 2.4 hadi laki 6. Uchumi wa viwanda huu

    Really? Hayo yametoka moyoni mwako? Wajuwa soko la hisa linaingiza bei gani ya foreign currency. Lazima tuweze pendekeza namna ya kuliokoa soko siyo kusema kwa ushabiki lifungwe. Humu ndani kuna potential leaders they can have your good advice Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  10. C

    OMBI: Serikali ingilia kati biashara 'mpya' ya Forex

    Thanks mkuu kwa maelezo na ushauri bomba
  11. C

    Nipo njia panda wajasiriamali nisaidieni natamani kurudia tena uwekezaji huu wa kuku ila nasita

    Sory hapo kwene ushauri wa PILI, nimechanganya maelezo. Ni hivi ....siyo kwamba tunatakiwa kukumbuka yaliyopita ili yatutie woga na wasiwasi na kukata tamaa , Bali tunayakumbuka ili tujifunze tulipokosea na kutuimarisha zaidi tusiyarudie makosa hayo.....
Back
Top Bottom