Recent content by chalupa

  1. C

    Hizi ndo shule 100 Kongwe na zilizotikisa Tanzania, na asilimia 90 humu tumepitia katika shule hizi

    OOOOOOOOOOOOOOOOOOOH GALANOS MOJA PENDA WATOTO SCHOOL MISSION
  2. C

    Kuitwa kazini

    mtalipwa huu mwezi mshahara wa kwanza
  3. C

    Kuitwa kazini

    good
  4. C

    Kuitwa kazini

    kama kawaida kama nilivyosema hapo awali kwa wale waliositishiwa ajira zao wajiandae muda wowote kuitwa sasa kuanzia tarehe 15 mwezi huu hadi tarehe 25 mwezi huu jiandae kurudi maeneo yenu mliokuwepo mwanzo! proof
  5. C

    Kwa wale ajira mpya walio repoti vituo vya kazi mwaka jana na ajira zao kusitishwa

    wale wote waliositishiwa ajira zao mwaka jana na hawakuwa wamepata cheki no. soon mambo yatakuwa ok kaeni mkao wa kula! mana waliokuwa na cheki no. tayari walisharudi tangu mwaka jana mwezi 11! it is now time 4 u! get prepared
  6. C

    Kwa wale waliositishiwa ajira zao mwezi may 2016

    ni kweli kabisa ila vuta tu subra muda mfupi mambo yatakuwa vizuri sana usijali
  7. C

    Kwa wale waliositishiwa ajira zao mwezi may 2016

    wote waliokuwa kwenye ndani ya ofisi za halmashauri tofautitofauti na tayari walikuwa walishapewa chek no. wakati termination inatokea! mfano wahasibu, wakaguzi wandani, watu wa idara ya maji, maafisa utumishi, sheria, watendaji wa kata nk.
  8. C

    Kwa wale waliositishiwa ajira zao mwezi may 2016

    usijali utapewa tu mkuu
  9. C

    Kwa wale waliositishiwa ajira zao mwezi may 2016

    wewe kweli hauna akili hata kidogo ndio maana unaambiwa kitu kama haukijui uliza uelimishwe na sio kutoa maneno yanayoweza kukutia aibu baadae baada ya kujua! do you know the meaning of official/confidential document? sasa kwa taarifa yako muulize yoyote ambae alikuwa tayari alikuwa...
  10. C

    Serikali yasema haina uwezo wa kuajiri Madaktari wote wanaohitimu

    unajua tatizo lako unaamini maandishi kuliko oral! nimekufuatilia sana hii mada umeipeleka mpaka facebook kama ilivyo hivyo hivyo kwenye page ya TETESI ZA AJIRA MPYA umekosolewa na kupingwa vikali na wale walioona jana ummy akiongeana ukaamua kukimbilia huku kuzidi kudanyanya watu! lazima...
  11. C

    Serikali yasema haina uwezo wa kuajiri Madaktari wote wanaohitimu

    tatizo lako huna akili na utaki kujifunza na sina hata muda wa kujuana na wewe kama usemavyo wewe! unapoandika ujinga wa kupotosha umma na kuwakatisha wenzako tamaa kwa uongo wako lazima ukosolewe na upingwe vikali! wewe unaamini maandishi yaliyoandikwa kuliko kuamini sisi tuliyoona tangazo la...
  12. C

    Serikali yasema haina uwezo wa kuajiri Madaktari wote wanaohitimu

    Kweli leo ndio nimejua kuna watu wajinga na wanaosema uongo nilikuwaga nasikia tu! hivi wewe ulie andika hii post una akili timamu kweli? hakuna ambae hakusikia au hakuona ile taarifa ya ITV wakati alipokuwa akiongea waziri wa afya Mh. Ummy mwalimu jana! nanukuu alichosema jana "madaktari...
  13. C

    Kwa wale waliositishiwa ajira zao mwezi may 2016

    soon mtapewa taarifa kwa wale wasiokuwa na chek no.
  14. C

    Kwa wale waliositishiwa ajira zao mwezi may 2016

    hapo sawa kwa waliokuwa tayari na chek no. wamerudishwa! wengine tulieni soon mtapata taarifa
Back
Top Bottom