Kuitwa kazini

chalupa

Member
Oct 14, 2014
36
29
kama kawaida kama nilivyosema hapo awali kwa wale waliositishiwa ajira zao wajiandae muda wowote kuitwa sasa kuanzia tarehe 15 mwezi huu hadi tarehe 25 mwezi huu jiandae kurudi maeneo yenu mliokuwepo mwanzo! proof
 
Nightmares!
 
Mm nimeambiwa niende nikasaini Leo mktaba bahati mbaya nipo mbali. Nikaambiwa watanisainia tu ... Kwa waliojaza tayari mkataba vip Ni tayari mmeaza kazi au tunasubiri kuitwa tenaaaa.
 
ila sio wote wameitwa wenye applicant number tu sijui kwann wanawaita kwa mafungu mafungu
 
Mkuu mbona mahakama wanapigia simu watu na kuwauliza Kama wapo tayari kurudi kazini maana yake nini??? Hawataki kuwaambia tarehe ya kurudi kazini
yap ni kweli wanaulizwa ivyo kuwa wa nataka kurudi kazini kuna watu kama 4 wa mahakama wamepigiwa na kuulizwa ivyo pia wengine mfano tamisemi wanajaza mikataba ila ni kwa wenye applicant number so sijui
 
Hata wa mahakama waliopigiwa yawezekana ndoo wenye applicant no?
 
Back
Top Bottom