Kuitwa kazini

Kuitwa kazini

Na je watatulipa kweli kuanzia april hii au ndio watatuweka vituoni hadi mwezi wa saba bajeti mpya ndio waanze kutulipa .....afu mishahara ya kuanzia april ndio watulipe kama arrears
 
Wanaita tu wenye applicant no, kwa yeyote anayejua kuhusu wasio na applicant mambo yamekaaje wakuu
 
Tushaanza kurudi tangu juzi jumanne,na mwisho wa kuingiza watu ni jumatatu 9/4...Mimi nimesaini mkataba Jana ,mkataba mpya!
Wapi kuna mkataba? Serikalini au private?
Ninachojua kuna barua ya ajira, labda parastals....
 
Wanaita tu wenye applicant no, kwa yeyote anayejua kuhusu wasio na applicant mambo yamekaaje wakuu
Hivi inawezekana watu mkaajiriwa tarehe moja na mkapangiwa kituo kimoja afu mmoja akawa na applicant no mwengine akakosa?
 
Yote yanawezekana maana watu wamejaza mikataba siku moja wizara tofauti lakini wengine wana applicant no na wengine hawana applicant no
 
Hivi inawezekana watu mkaajiriwa tarehe moja na mkapangiwa kituo kimoja afu mmoja akawa na applicant no mwengine akakosa?
hiyo haiwezekani labda kama mulijaza mikataba tofauti harafu applicant no ndio nn Mkuu unaipataje
 
Back
Top Bottom