Recent content by Chal

  1. C

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    mshana jr Naomba niunganishe group ya watsap magar 0713172242
  2. C

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Tarime Mji mwl aje Mtwara kama upo tayari nicheki 0713172242
  3. C

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    MWL IDARA SEKONDARI NJOO TABORA MANISPAA MWL AJE MORO AU DAR NJOO H/W TARIME MWL AJE MASASI, MTWARA NJOO MANISPAA YA SINGIDA MWL AJE MANISPAA YA DODOMA If u r interested ni pm
  4. C

    Mgao wa escrow: Jimbo la Muleba limepata 1.6 bilion

    Ukiisoma thread vizuri utaona haijazungumza kuhusu mifumo ya kiutawala wala haijaibua chuki dhidi ya elimu kwa watoto wa kike. Hata hivyo kama umefuatilia kwa karibu suala hili utakuwa na taarifa kuwa idadi ya watoto wanaosoma bure pale Babro ni ndogo mno tena sana kiidadi kuliko wanaolipa. Hili...
  5. C

    Mgao wa escrow: Jimbo la Muleba limepata 1.6 bilion

    Wakuu, Nadhani si jambo la kushangaza wala siyo habari mpya kwamba nchi yetu imejaa viongozi wabinafsi na wanaojali matumbo yao kuliko utu na utaifa. Kwa kiasi kikubwa tuna upungufu wa viongozi wenye uzalendo. Msingi wa hoja yangu ni namna baadhi ya viongozi wa umma walivyonufaika na pesa za...
  6. C

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne Tarehe 20 Mei 2014, Mkutano wa 15 Kikao cha 13, Bunge la Bajeti

    Naamini kwa wanajamvi wote wanaofuatilia bunge hili jioni ya leo watakubaliana na mimi kuwa Mheshimiwa mwenyekiti wa leo ameongoza kizalendo zaidi katika kupitisha bajeti ya Wizara ya Viwanda na biashara na wala si kichama kama baadhi ya wenyeviti wengine.
  7. C

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwalimu yupo Singida Manispaa Idara ya Sekondari anatafuta mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi kutokea Mwanza kati ya Ilemela au Nyamagana. Kama upo tayar ni PM
  8. C

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwl wa Sekondari yupo Singida mjini anatafuta mwl wa kubadilishana naye kituo cha kazi aliyepo kibaha au kinondoni
  9. C

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwalimu yulo Tabora mjini anatafuta mwl wa kubadilishana kituo cha kazi aliyepo Moro mjini au kibaha. Kama upo tayari ni pm
  10. C

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nipo Singida Manispaa. Nicheck kwa namba 0713172242 tufanye mchakato...
  11. C

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwalimu wa sekondari yuko morogoro(mvomero) anataka kubadilishana na mwalimu aliyeko singida(manispaa) kama upo tayari ni pm....
  12. C

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Singida mjini nije Moro
  13. C

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    hivi wewe kabwela unaakili kweli?unahisi kupangwa temeke kunakifanya kuwa Mungu mtu mpaka umwambie mwenzako akupe milioni 7 ndo mbadilishane"!!! shika adabu yako ----- wee...
  14. C

    Ongezeko la mishahara kwa walimu

    Nimejaribu kupiga hesabu hapa,kama kwasasa graduate anapata basic 532,000/- na kama wakiongeza 20% basi basic itakua 638,400/- ukiweka makato yote take home itakua 500,128/-
Back
Top Bottom