Recent content by chakutu

  1. chakutu

    Wajuzi wa mambo kuhusu nafasi za ajira utumishi

    Hapana sio mimi Boss wangu.
  2. chakutu

    Wajuzi wa mambo kuhusu nafasi za ajira utumishi

    Kuna nafasi TANROADS walizozitangaza tangu mwezi wa 6, 2025 kupitia Utumishi kuna mwana nilimuazima laptop yangu kwa ajili ya kufanya maomba juzi kati naonana nae namuuliza vipi interview anasema bado hawajaitwa. Mpaka leo mwana hajaitwaa kwa ajili ya Interview, Je ni kiini macho au wanasubiri...
  3. chakutu

    Wajuvi wa recruitment secretariat, ajira portal

    Inabidi kuwafuata Makao Makuu maana simu hazinaushirikiano., lakini nauli nayo ni mgogoro mshikaji kaamua kunyosha mikono juu yupo Masasi
  4. chakutu

    Wajuvi wa recruitment secretariat, ajira portal

    Wajuvi wa Mambo, Kwani secretarieti ya Ajira hawajui kuwa USTAWI WA JAMII kwa kimombo ni sawa na SOCIAL WORK ? Maana Mshikaji wangu ana sifa sawa na tangazo la ajira (AFISA MLEZI WA WATOTO DARAJA LA II) lakini akiingia kwenye mfumo , Mfumo unamkatalia, nikajua anakosea nikamwambia ngoja niweke...
  5. chakutu

    Chalamila yupo sahihi; kuna Bima ya elfu 40. Unajua Mkeo ni mjamzito, huna Pesa. Kata hata hiyo

    Dogo hiyo elimu ya saving uliyoipata isikufanya ukawa kipofu, shukuru Mungu kwa kuwa neema imekufikia ila usilaumu kwa wale walioshindwa kulipa hiyo ada, hiyo hela ambayo unasema watu kwa siku au kwa mwezi wange-save ndio hiyo hela watu kwa siku ndio anaitumia kwa ajili ya chakula kwa siku. Je...
  6. chakutu

    Boni Yai yupo na hali gani ?

    Boni Yai Nyamidevu yupo na hali gani ? Maana mwanzo nilikuwa namkubali kweli
  7. chakutu

    Mkoa wa Pwani una vijiji na Mapori ya kutisha sana

    Ushaanza sasa eeeeeh tuambia basi sehemu inayotisha zaidi
  8. chakutu

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ndio akili zako zilipoishia hapo. Unafikili kila kazi ya serikali inahitaji GPA kama ya ukufunzi wa vyuo.
  9. chakutu

    Kikwete: Mzee Manji kabla hajafa alinikabidhi mwanae Yusuf Manji nimlee!

    Kwa sababu kijana alijisahau na kuota mapembe
  10. chakutu

    Kikwete: Mzee Manji kabla hajafa alinikabidhi mwanae Yusuf Manji nimlee!

    Sasa hapa naanza kuamimi ile kauli ya kiburi "Mimi siongei na Mbwa, naongea na Mwenye Mbwa". Mara paaaaa Mbwa akachukua RUNGU, mara chikuchikuotae anaanza kulia.
  11. chakutu

    Kwanini mwanaume akiwa star anatamani muonekano na hulka za jinsia ya kike

    lazima upinge kwa staili hii maana nakuona kwa mbali umevaa kipini mwaaaaaa
  12. chakutu

    Kuuliza sio ujinga jamani kwani mitihani ya kuandika (written) ya secretarieti

    Walikuwa wanasema social development wao walikuwa wanakisoma kama kijisehemu kidogo tu ndani ya social work. Kama mtahiniwa anatarajia kuajiriwa kama social worker unampimaje kwa maswali yote ya social development ilhali hizo nafasi ni kwa ajili ya social worker?
Back
Top Bottom