Recent content by CHAKUDIBUA

  1. C

    Adhabu ya kunyonga hadi kufa imepitwa na wakati?

    naunga mkono adhabu ya kunyogwa mpaka kufa tena ilibidi kuambatanisha adhabu mbili mateso makali kisha kunyongwa hadi kufa japo watu wa haki za binadamu wanapingana na hili nao wanatakiwa kuja na solution nzuri ambayo itazuia au kupunguza makosa ya mauji lakini hili la kifungo cha maisha...
  2. C

    Utoaji mimba unaweza kuwa haki za binadamu?

    kuruhusu utoaji mimba ni ukiukaji wa haki za binadamu kwani mimba inapotungwa tu uhai wa binadamu ndipo unapoanza thats why kuna matukio huwa tunasikia mtoto amefia tumboni this means that maisha yanaanzia tumboni Kuhusu circumstance kama upatikanaji wa mimba kwa kubakwa haimanishi mwanamke...
  3. C

    Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

    ni kweli kinga ya rais iondolewe kwani ikiondolewa itaögeza tadirifu na umakini wa kazi kwani ataluwa akijua kuwa akifanya madudu anaweza kustakiwa
  4. C

    Maandamano ni hisani au haki ya kikatiba?:

    Someni ibara ya 20 ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania
  5. C

    Dk. Slaa Ajibu Mapigo ya CCM

    no uelewa unakua kwa kasi sana, hii inatokana na kuona azi yale yalio kua yakipigia kelele na CHADEMA dhidi ya CCM yakitukia live na ugumu a maisha ukikua kwa kasi ya ajabu kwa sisi wanamapinduzi tunaungana kwa hali na mali na CHADEMA kuendelea na harakati ya kweli ya ukombozi wa TAIFA letu
  6. C

    Model maarufu nchini apiga picha za X

    ehuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Back
Top Bottom