Maandamano ni hisani au haki ya kikatiba?: | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano ni hisani au haki ya kikatiba?:

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kaka deo, Mar 5, 2011.

 1. K

  Kaka deo Member

  #1
  Mar 5, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tumeshuhudia matamko mbalimbali juu ya mwenendo wa watawala feki, wakidandia treni kwa mbele. tuone ushauri juu yao, naona sasa wanataka kuleta machafuko. jamani JK kama anapendwa kwani hao wanaoandamana wanatoka wapi wakati hatujamaliza hata miezi mitano tangu uchaguzi? nini maana yake? aliiba kura au vipi?
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Ni haki ya kikatiba niliiona ile barua aloiandika yule msajili wa vyama Tendwa kuwakemea cdm kuhusu maandamano, huwezi amini kama ni msomi ndo ameiandika. Imejaa upupu tu!
   
 3. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Wajameni nimekuwa nikijiuliza kama haiwezekani kuwafungulia Kesi hawa watu. Kwa sababu wanaonesha wazi kutishia amani...
   
 4. C

  CHAKUDIBUA Member

  #4
  Mar 8, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Someni ibara ya 20 ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania
   
 5. pashu

  pashu JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2014
  Joined: Jan 21, 2014
  Messages: 364
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Serikali inapokosa umakini inahatarisha amani ya taifa zima.Serikali inaposhindwa kusimamia haki,kuhakikisha kuna ustawi ktk jamii,inaposhindwa kuondoa rushwa na ufisadi,wananchi wanakua hawana jinsi yeyote,isipokua kuandamana na kueleza hisia zao.

  Kwa hiyo maandamano na migomo ni njia za kueleza hisia za wananchi kwa serikali yao.
  Kama serikali ikiwa sikivu inaweza kufanya mabadiliko,ili kukidhi matakwa ya raia,ivyo hapa maandamano yanaweza kuwa ni suluisho kwa matatizo yao,kwa kua serikali imewasikiliza baada ya jitihada za kawaida kushindikana,na wao kufanya maandamano ili kushinikiza serikali kufanya yale ambayo wanafikiri ni haki yao kama raia kueanyiwa.
  Ivyo basi ktk ibara ya nane ya katiba inatamka wazi mambo ya msingi,
  MAANDAMANO NI HAKI YA KILA RAIA.
   
Loading...