Anatafutwa mtu aliyesomea uhasibu ngazi ya shahada. Awe na ujuzi mzuri wa kutumia tarakilishi (computer) na kama amewahi kutumia ''Finance Solution'' software itakuwa vyema sana.
Kazi hii ni kwa ajili ya tawi jipya la wilaya ya Temeke. Hivyo wakazi wa Temeke wanapewa kipaumbele zaidi.
Omba...
MAMBO YA KUTUNZA SABATO NI MAMBO YA KIZAMANI SANA.....Jumamosi ni siku kama siku nyingine:
Mtu mmoja afanya tofauti kati ya siku na siku; mwinginie aona siku zote kuwa sawasawa. Kila mtu na athibitike katika akili zake mwenyewe. Yeye aadhimishaye siku huiadhimisha kwa Bwana" (Warumi 14:5-6a)...
2 Wakorintho 3: 12-1612 nasi si kama Musa alivyotia utaji juu ya uso wake, ili kwamba Waisraeli wasitazame sana mwisho wa ile iliyokuwa ikibatilika; 13 ila fikira zao zilitiwa uzito. Kwa maana hata leo hivi, wakati lisomwapo Agano la Kale, utaji uo huo wakaa; yaani, haikufunuliwa kwamba...
Luka 16 : 1616.16 "Sheria na maandishi ya manabii vilikuweko mpaka wakati wa Yohane mbatizaji. Tangu hapo, Ufalme wa Mungu unahubiriwa, na kila mmoja anauingia kwa nguvu
Wagalatia 3:23-29
Kabla ya kujaliwa imani, Sheria ilitufanya wafungwa mpaka imani hiyo iliyokuwa inakuja ifunuliwe. 24 Basi, hiyo Sheria ilikuwa kama mlezi wetu mpaka alipokuja Kristo, ili kwa njia ya imani, tukubaliwe kuwa waadilifu. 25 Tangu kufika kwa hiyo imani, Sheria si mlezi wetu tena...
Kumbukumbu la Torati 5
1 Musa akawaita Israeli wote, akawaambia, Enyi Israeli, zisikieni amri na hukumu ninenazo masikioni mwenu leo, mpate kujifunza na kuangalia kuzitenda.
2 Bwana, Mungu wetu, alifanya agano nasi katika Horebu.
3 Bwana hakufanya agano hili na baba zetu, bali na...
NAFASI YA KAZI: MAAFISA MKOPO.
Chakarika Credit Facility ni taasisi inayotoa mikopo midogo midogo iliyopo maghorofa ya Urafiki Shekilango mkabala na Royal College inatangaza nafasi ya kazi ya maafisa mikopo. Sifa zinazotakiwa: · Mwombaji awe mwaminifu · Umri usizidi...
Nafikiri Assa Mwambene alitaka kujenga hoja kuwa gazeti la Mwanahalisi lilikuwa na tatizo ndio maana hata Mheshimiwa Mbunge tena wa chama cha upinzani alimtahadharisha. Sasa haya mengine nadhani ni mtindo ule ule wa watanzania kuacha kujadili issue na kuanza kujadili watu. Sioni hata kidogo...
Nashukuru sana, shida yangu ni mtu ambaye anaweza kunisaidia kuandika proposal ili kuweza kupata fedha za kusaidia wakulima 1,000 kwa kuanzia. Kuna taasisi moja ya kanisa ya Uswisi wamekubali kutoa mtaji wa mzunguko (Revolving Fund) kusaidia vijana wakulima kuendeleza hicho kilimo. Nina hitaji...
Wadau,
Kuna uwezekano mkubwa wa kupunguza umaskini wa kipato kwa wakazi wa mkoa wa pwani endapo watawezeshwa kupatiwa mpenyo wa kupata huduma za kifedha kwa ajili ya kununua pembejeo za kilimo na utaalamu wa uzalishaji mazao hasa ya muda mfupi. Katika utafiti wangu kama mtaalamu wa mambo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.