Recent content by chaikavu

  1. C

    Juma Duni: UKAWA imebaini kuna kura hewa milioni 9

    UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) unaoundwa na vyama vinne vya upinzani vimedai kubaini mchezo mchafu ambao unataka kufanywa na serikali ya CCM kwa kushirikiana na Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC). Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Hali hiyo imejitokeza kutokana na kile kinachodaiwa...
  2. C

    Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    nyie mnaotukana watu wengine eti ni wagonjwa mtatangulia nyie maana mnajiona wenye afya na dhamana ya kuishi kuliko wengine. wanaochechemea wanajua namna ya kutunza afya zao mliojazia miili yenu mkajiona mna haki kuliko wengine shauri yenu
  3. C

    Dk. Slaa na Zitto kupanda jukwaa moja

    mbona yule first lady alisema hawana shida na siasa na kwa sasa wamepta mpunga mwingi kutoka kwa wafadhili wao waliowatuma kuvuruga upinzani hivi marekani wamenanza lini kula mihogo?
  4. C

    Eti Kubaki vituoni kulinda kura ni ishara mbaya

    kama huyu mtu mzima amechona na anapingana na sheria bora tumpeleke jumba la makumbusho akapumzike. lazima tulinde kura. kama ma mcc yanaibiana yenyewe yatashindwa nini kuiba kura z edo?
  5. C

    Picha: Lowassa afanya kufuru Babati Mjini

    hii ni shida kwa wezi wa epa,kagoda,melemeta,tangold
  6. C

    Magufuli apoteza mwelekeo

    hatutaki raisi mwenye vijazba visivyo na msingi, alileta vijaziba vya kisukuma wachina wa std 7 wakampiga chini mahakamani na kuiingizia nchi hasara ya mabilioni
  7. C

    Pombe Magufuli aitikisa Makambako,Mafinga na Mufindi

    hivi ni nani yule wa timu yenu anayeenda kubadili damu ulaya? tukumbushane maana siku hizi watu wanazimika wakiwa na miili iliyonona kuna mwimbaji mmoja alimwambia warioba ni kazee tena kagonjwa cha kushangaza alitangulia yeye bado babu anadunda mtaani
  8. C

    Chiku Abwao akiwachana Peter Msigwa na Edward Lowassa

    huyo amehama vyama vinne 4 mpaka sasa kwa hiyo akikosa ubunge atahamia chama cha 5 na hii tabia wanayo watu fulani
  9. C

    Tamko la Baraza la Habari Tanzania kuhusu madai ya CCM juu ya ushiriki wake katika midahalo ya Urais

    huu ni upuzi wa hali ya juu kwa sababu MUANDAAJI wa mdahalo ameishapeleka barua ya mwaliko kwa vyama kushiriki mdahalo LAKINI eti baadae waandaaji wa mdahalo wanaenda kuwashawishi wakubali kushiriki mdahalo? unawashawishi ili iweje? hamuoni hiyo ni rushwa? hamuoni kwamba huu mdahalo umeandaliwa...
  10. C

    Ni kweli MCT mlikutana na Kinana mkapewa maelekezo ya namna ya kuandaa Mdahalo?

    hawa mcc ni smart kwenye mavazi lakini kichwani ni zeroooooo brain. kama Dr mzima aansema sadamu hussein alikuwa rais wa libya ,mara wa syria
  11. C

    Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    sijawahi kuona utafiti wa kishenzi kama huu, eti unamhonga mtu simu na solar power halafu unaenda kumhoji wewe mwenyewe. naona mcc mnajitekenya na kucheka wenyewe
  12. C

    Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    fanya kwenye yale mawasiliano yaliyovuja cku chache zilizopita ccm walisema ni lazima wa influence utafiti wa uongo na wakaenda mbali zaidi wakasema watafanya utafiti wao na ccm wameishafanya na kutoa matokeo. wakataja na taasisi nyingine watakazo rubuni zitoe matokeo feki ya utafiti na hili...
Back
Top Bottom