Recent content by chah

  1. C

    TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

    Mungu Wa lowasa ndo amekwambia ameusika au kamuua mtikila??? Na mtikila asamehewe na Mungu Wa lowasa amefanyaje???
  2. C

    TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

    Unaanza kumuogopa lowassa kwani lowasa Ni Mungu???....muogope Mungu.
  3. C

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Lowassa
  4. C

    Tulianzisha kanisa feki pamoja, anafosi nimuoe, vinginevyo anamwaga mboga

    kweli aisee Yani mtu anaetumikia uganja anavyotetemekea madhabau yake utashangaa mtu anaambiwa lala na mwanao wa kuzaa anafanya ivo...uwa anauwa....wanaziheshim sana madhabau zao...lakini wenye madhabau zenye nguvu kuu inayozidi nguvu zote wamelala tuu hawana mpango na madhabau zao huku...
  5. C

    Tulianzisha kanisa feki pamoja, anafosi nimuoe, vinginevyo anamwaga mboga

    wazungu wengi sio christian au muslim bt wana cults wengi ni satanist pia....watu wanaabudu shetani wana mafanikio sana humu duniani sababu ndo wanaongoza kwa kuiheshimu na kuitolea sadaka madhabau zao zinazowapa mali...ni lama utajiri wa kichawi lazima utoe sadaka nk...nt waislam na wakristo...
  6. C

    Tulianzisha kanisa feki pamoja, anafosi nimuoe, vinginevyo anamwaga mboga

    so mnafanya biznec.....nyie mmetoa mtaji alafu mmeajiri wainjilisti ambao wanaamini nyie ni wa kweli....so makanisa mengi yana wawekezaji na wachungaji wanalipwa mishahara tu...okay...
  7. C

    Tulianzisha kanisa feki pamoja, anafosi nimuoe, vinginevyo anamwaga mboga

    sasa mnaombeaje na kuponya akati unesema nyie ni matapeli...au mnatumia ndumba?
  8. C

    Ushauri: Mume hataki kufanya mapenzi na mimi, anataka mtoto niliyezaa kabla ya kunioa

    tafuta kungwi...ulikuwa mzembe kwa mrefu sana aisee
  9. C

    Hii ndoto ina tafsiri gani?

    nikueleze vilivyotokea na visivyotokea ili iweje we amini cha kwako acha kupebda penda story za watu...we kamata reality yako as you said ,life goes on... ahahah life goes on hivi unazani kuna mtu maisha yamesimama?? kila mtu ana mbinu zake na iman yake kufanya maisha yawe rahis
  10. C

    Hii ndoto ina tafsiri gani?

    ooooohooo nawewe umerudi kule kule kwa kitaka kila mtu aamini unavyojua wewe.. so huna msimamo ila unamtizamo/na hisia hasi.... zama zimebadilika kweli...na zinaendelea kubadilika na zote zipo kwenye vitabu wala hakuna jipya lisiloandikwa ktk yaliyopo sasa. soma vitabu, google utaelewa...
  11. C

    Hii ndoto ina tafsiri gani?

    tatizo unaongea sana na tiyar una attitude kuhs kitu flan ni ngumu kujifunza ukiwa ivo...sasa freemason kajaje hapo...kwan wote uliowataja wakiwa frmsn ni ajabu.!!!! fanya utaratibu jifunze kusoma na kutafuta habari...information ni Nguvu. ktk ndoto kuna kawaida(mambo tuliyoyawaza au kuyafanya...
  12. C

    Wana MMU tumrudie MUNGU

    Mungu pia utumia matatizo/vikwazo ili kumrudisha mtu kanisani/kwenye maombi/kwenye ufalme wake...ivyo wanaporudi inamaana wamejua Mungu ndio kipindilio lao na Mungu anapowajibu maombi yao wanazidi kumwamini na kusimama kwenye Imani....Asilimia 98 wengibwalisimama kimsombi baada ya kuwa na...
  13. C

    Picha: Celebrities wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja......!!

    randy orton mwenyewe ana kashfa ya u gay
  14. C

    Kalala Junior, mke wa mtu ni sumu

    haawezi kuwa mke wa mtu kwa style iyo...watakuwa labda aliachana na mumewe....uyu si ndo yule pacha wa mainda uyu...
  15. C

    Naota nimeolewa na mtoto mdogo

    ni kweli umeolewa na spiritual husband....unahitaji ukombozi..
Back
Top Bottom