Wewe unapenda kula useme tu.kwan huba msimamo ? We kama unaona jogging huwez save money nunua treadmill hata ta manual.kimbia ruka kamba na angalia unachokula kula usishibe
We jamaa una njaa primary ??kwan nn usi take into consideration kwamba akili yake ni ya kitoto hata kama mwil wake huenda hormone zake zimeanza kumpeleka peleka. Bcoz watto wa sa hiv na haya makuku na blue band wanakua kua tu
Kwenye kuomba kama kwa maana ya dua huwa inatakiwa uombe kupitia maombi ambayo kama unaweza unatumia maneno waliyotumia mitume iliyopita kwa mfano mtume ibrahim(amani iwe juu yake) "ewe bwana mola wangu nipe mimi zawadi ya wake na watoto ambao watakua kitulizo cha macho na utujaalie kuwa...
Naan naona mambo ya vicarius fill dei.ila waislam ni kweli wanaomba wafe kabla ya ajuj wa maajuj???au wanaomba kupewa kinga na fitna au vitimbi vya dajjal?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.