Nimemfumania mume wangu PR Hotel sikia haya

Nimemfumania mume wangu PR Hotel sikia haya

[QUOTE="Kadaada, post: 18846420,

Niliamua kumfuatilia ktk kipindi cha mwezi Novemba 2016 baada ya kuona amezidi kurudi nyumbani saa saba za usiku. kama clip moja inavyo thibitisha. hata ukimwmbia hajali. ndipo nilipotunia ki Tecno changu kumrekodi anapokuwa chumbani mimi sebuleni
 
Ondo hizo audio then@prince22 amemaliza katika ushauri, ushakaa miaka 25 kaa na mumeo malizane, kuweka haya mambo huku unajichoresha. Ongea na mumeo muweke wazi.
 
jamani watatu kwa mmoja isiwe sababu ya mtu kuwa wanawake nje ya ndoa. ahadi yetu na mme wangu mbele ya Mungu kanisani ni kuachana na wengine wote na ni mke mmoja
 
Kuna watu wana ndoa ngumu jamani...

Pole mama yangu.

Hebu kaa kitako na mume wako muongee kiutu uzima ni nini tatizo la yeye kukufanyia hayo yote.

Si vibaya pia kama mtawashirikisha viongozi wenu wa kidini.
 
Ulipoambiwa kifo kitawatenganisha...ndio maana yake

Ndoa ni kupoteza 50% ya security ya maisha yako
 
Huyu sio mke mwema hata kidogo...ila sababu huyo Mme wako ni home boy kutoka Mbeya...najua utapata unachokitafuta mama lugano.

....huwaga hatupendagi ujinga wa hivyo

Samahani mimi si mama lugano. ila Lugano ndiye anayeambiwa jinsi nilivyomfumania mzee. umri huu naogopa zHIV pia. Am 52 years old
 
Baba Lugano yuko sawa....thats how we do.
Banyambala hatutaki ujinga kama huo unaofanya wa kumfanyia mitego ya kijinga

Igwe. kumbuka sababu ya miminkumgatilia ni tabia ya kurudi saa saba usiku. siku moja usiku wa saa saba karudi akiwa amegonga magari matatu ambaho nilipeleka mimi si yeye kwa mvhina na kutumia milioni 6 kuyatengeneza. sijakaa sawa karudia tena nikatumia milion1.8 kutengeneza gari hilo tena. Be reasonable. Mbeya imejaa makanisa yanayokataza uzinzi. usinifanye nione nimepotea sana kuolewa kwenu. kwetu Mara.
 
Ndo maana wanaume mnapewa sumu hivi hivi, hilo libaba halioni haya!! Miaka 25 ya ndoa na bado anamletea usumbufu mama wa watu!! Hili ni janga linaloambatana na magonjwa ya uzeeni
 
watumie na ndugu zake na wazee wa dini wamweke sawa.
If possible, kama ni mwajiriwa ongea na bosi au rafiki zake wa kazini
 
mamangu ungetulia haya mambo ukayamaliza chinichini tu kunawakati hapa sio mahala sahihi pakupata suluhu zaidi unaweza kuwa unajichafua tu,kwa umri wa ndoa nikipimo tosha cha kukabiliana na haya makwazo tafuta rafiki wakaribu mnae peana siri zenu au dungu mnaeshibana mweleze utoe kinyongo chako katikati ya ushauri wake utapata njia sahihi ya kwako mwenyewe yakumaliza hilo jambo!!
kumbuka wamtumainio bwana ni kama mlima sayuni

Aliyeanzisha blog hii alijua haya yote yapo. kuna mbivuna mbichi. inategemea mchango wako. hili ni mmoja tu. kwani kwa mwezi mmoja tu ame -date wanawake zaidi ya wanne. tena wakimo wake za watu. kwani anawataja kwa majina na kuuliza waume zao walipo nyakati hizo za jioni. thubutu kukuta ni mkeo. dhambi isiachwe. lazima ikemewe. amebaka apelekwe mbele hata lama ni baba mtoto.
 
Nishayaona haya katika familia nyingi,tena mengine ni zaidi ya haya.

Pole sana.
 
Aliyeanzisha blog hii alijua haya yote yapo. kuna mbivuna mbichi. inategemea mchango wako. hili ni mmoja tu. kwani kwa mwezi mmoja tu ame -date wanawake zaidi ya wanne. tena wakimo wake za watu. kwani anawataja kwa majina na kuuliza waume zao walipo nyakati hizo za jioni. thubutu kukuta ni mkeo. dhambi isiachwe. lazima ikemewe. amebaka apelekwe mbele hata lama ni baba mtoto.
ndomana nakushauri kuwa mpoke punguza jzba maamuzi unayochukua ukiwa na jazba maranyingi hayako sahihi kabisa,kwa umri wa ndoa yako unawatu wengi sana wakukusaidia tofauti na kwenye haya majukwaa ya mtandaoni
 
Acha kumfatilia mwanaume kwa kiasi hicho ,ndio maana tunashauriwa kuwa ukiweza kukaa na mwanaume bila kushika simu yake umeiweza ndoa sababu hutaelewa lolote lile linaloendelea ,kaa chin myaongee wenyewe mkipata suluhu la tatizo lenu nakushaur mama angu achana kabisa na kufatilia mwanaume kwa kiasi hicho .
 
Jambo ni kuliongea si kujichoresha. nahitaji mashauri mimi ndiye nitaamua. ungelisikia mme anayoyasema juu yangu kwa hao wanawake si ungezimia
Kuna watu wana ndoa ngumu jamani...

Pole mama yangu.

Hebu kaa kitako na mume wako muongee kiutu uzima ni nini tatizo la yeye kukufanyia hayo yote.

Si vibaya pia kama mtawashirikisha viongozi wenu wa kidini.

nilijaribu kuwashirikisha viongozi wa dini si akenda kuwapa pesa. hadi sasa nimeona nitoe experience yangu humu
 
Acha kumfatilia mwanaume kwa kiasi hicho ,ndio maana tunashauriwa kuwa ukiweza kukaa na mwanaume bila kushika simu yake umeiweza ndoa sababu hutaelewa lolote lile linaloendelea ,kaa chin myaongee wenyewe mkipata suluhu la tatizo lenu nakushaur mama angu achana kabisa na kufatilia mwanaume kwa kiasi hicho .

smu yake siishili mie. ilianza na kurudi saa saba za usiku, kisha ajali za usiku. then nikiingia chumbani ananigombeza kuwa namshutua hivyo chumbani naingia kwa kugonga hodi. unielewe hapa nitapata mengi lakini ninakufundisha na wewe pia.
 
Back
Top Bottom