ni kweli kwa upande wa chakula wanatakiwa kuchangia wazazi ila kumbuka kuwa kila shule ilitakiwa kuwasilisha bajeti yake ya mwaka katika halmashauri husika,ambapo serikali itachangia michango yote kuanzia ya kitaaluma hadi kwenye maswala ya ulinzi na uendesha,hivyo huyo mkuu si haki anachofanya...
Mkuu wa shule ya sekondari Usangi day, wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro amewahimizia wazazi wa watoto wanaosoma katika shule hiyo kuendelea kuchangia michango kama kawaida.
Mkuu huyo wa shule amesema kuwa kila mzazi anatakiwa kuchangia cement mfuko mmoja,hela ya mlinzi,hela ya taaluma na...
Wadau,
Muda si mrefu mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda atakuwa live E-FM radio akizungumzia maswala mbali mbali. Tujumuike pamoja katika uzi huu nitawaletea atakachozungumza.
========
Ameshaanzaa kuongea muda huu, na anasema mabadiliko yaliyopo sasa hayaepukiki kabisa na wapo...
asante mkuu kwa maswali yako mazuri,kiukweli sina ufaham na maswala ya udereva kuanzia baiskel hata gari au boda boda,mimi nadhani kwa sababu kuna wataalam waliosomea urubani nitamtafuta ili aweze kuniendesha.nadhani nimetoa majibu mazuri mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.