Msaada wa kipimo mbadala,
Wakuu habarini za wakati huu. Nimeenda Muhimbili wameniandikia kipimo cha OGD. Kwa ninavyosikia hiki kipimo maumivu yake ni hatari.
Naombeni msaada kama huwa kuna mbadala wake. Shida yangu kubwa ni maumivu ya kifua ya muda mrefu ila pia nimegundulika kuwa na vidonda...
Wakuu habarini za wakati huu.
Nimeenda Muhimbili wameniandikia kipimo cha OGD. Kwa ninavyosikia hiki kipimo maumivu yake ni hatari. Naombeni msaada kama huwa kuna mbadala wake. Shida yangu kubwa ni maumivu ya kifua ya muda mrefu ila pia nimegundulika kuwa na vidonda vya tumbo.
Nilipewa dozi...
Shukran mkuu sasa je hizi kemoxy+f na elogyl ninazotumia siyo za kutibu hilo tatizo?Mara ya kwanza nilipoumwa vidonda vya tumbo nilitumia Helgo kit nikapona vidonda but ishu ya kuumwa kifua ilianza wiki mbili baadae na mpaka leo imedumu mwaka sasa
Bima yako ni kifurushi gani?Then nimeona umeandika Unataka kupima Hepatitis b(Kwenye hili nakushauri ikiwezekana baada ya kusoma ujumbe wangu ukapime damu 10k then uchome chanjo 15k.Wahi haraka sana huu ugonjwa ni hatari kuliko magonjwa yote uliyotaja hapo juu.Mwisho ni kwamba bima zina usumbufu...
Wakuu habarini.
Mwendelezo:
Ninaomba msaada kwa anayeweza kunishauri. Nimekuwa nikipata maumivu ya kifua eneo la katikakati ya kifua kurudi chini zinakoishia mbavu. Mara nyingi maumivu haya husikika upande wa kulia wa kifua pia.
Nimesha-attend hospital mbalimbali nikafanya vipimo vya X-Ray...
Bro nilipima vidonda vya tumbo mwananyama kwa kutumia sampuli ya choo nikaambiwa sina vidonda ila mwaka huu nimeenda hosptal ya Ekenywa nikapima choo wakakuta positive.Niliporudi muhimbili nao washauri nikapime na kipimo cha damu nacho kikawa positive.Ila nadhani hivi vidonda vya sasa vimeamka...
Wakuu habarini.
Ninaomba msaada kwa anayeweza kunishauri. Nimekuwa nikipata maumivu ya kifua eneo la katikakati ya kifua kurudi chini zinakoishia mbavu. Mara nyingi maumivu haya husikika upande wa kulia wa kifua pia.
Nimesha attend hospital mbalimbali nikafanya vipimo vya X-Ray mara mbili, CT...
Habarini za wakati huu.
Naombeni msaada.
Nina mtoto wangu ana mwaka shida yake kubwa ni kuwa ni mjeuri sana kwenye kunywa dawa yani ukitaka kumnywesha tu dawa anakuwa anajitapisha au ateme yote.
Nifanyeje nimeshatumia kila mbinu nimeshindwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.