malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,717
- 4,295
Ushauri murua
Bro Viki na wewe ulipata suluhisho?Nateseka sana kwa tatizo hilo
Kaka VIP?Naomba kufahamu kama ulipata suluhu ya tatizo lako.I have the same problem na nimeteseka sanaNdugu zangu wana JF ninapata maumivu makali sana katikati ya kifua sasa yapata mwaka mmoja na miezi 8, pindi nitembeapo na hasa umbali kuanzia mita 50 yanatokea maumivu makali sana katikati ya kifua,pia nikioga yanatokea,nikiwa na hasira yanatokea hayo maumivu makali sana,nimejitahidi kubadili Hosp ili kujua
Tatizo bado sipatiwi jibu sahihi ambalo japo nipate nafuu hospitali moja waliwahi niambia ni Anjeina peini nikatumia dawa bila mafanikio,hivi karibuni nimeambiwa labda vidonda vya tumbo,nipo kwenye dozi na hakuna hata nafuu hapa ni uwanja mpana wa kupata msaada naombeni ndugu zangu msaada wa kitabibu ili nipone asante...