Chagaboy93
Member
- Jan 21, 2017
- 14
- 8
Habarini za wakati huu.
Naombeni msaada.
Nina mtoto wangu ana mwaka shida yake kubwa ni kuwa ni mjeuri sana kwenye kunywa dawa yani ukitaka kumnywesha tu dawa anakuwa anajitapisha au ateme yote.
Nifanyeje nimeshatumia kila mbinu nimeshindwa?