Recent content by chagaboy

  1. chagaboy

    JamiiForums Tanzania Siku Museveni Aliponusurika Kutekwa Nairobi

    Turudi kwenye harakati za Paniafrcanisim ilielezwa wazi wakati wa mabadiliko ya siasa kutoka chama kimoja kwenda vyama vingi kila kiongozi husimamia suala la kuwekeza katka watu ambao hata baadae watakuwa viongozi watakao ongoza nchi pale mda wa kiongozi aliye madarakani kuisha, vipi jirani...
  2. chagaboy

    JamiiForums Tanzania Dkt. Dorothy Gwajima: Kama unataka nitumbuliwe ili uchukue nafasi yangu, fanya kazi zaidi yangu sio ufitini

    Hauko sawa hata kidogo nikuulize tu kama ushawahi kufuatilia huduma za afya kwenye Hospitali yoyote ile ya Serikali, Hakuna hata moja utanikuta salaam yaani haina malalamiko kutoka kwa wagonjwa kwa hivyo Waziri lazima apambane nap kadri ya uwezo wake mbali na taaluma kwakuwa Watanzania wengi...
  3. chagaboy

    JamiiForums Tanzania Wadau wa mikoani tupeana taarifa hapa kuhusu uhakiki wa majina kwenye BVR

    Hapa Dar es salaam zoezi lilitangazwa kuanza tarehe 20.08.2015 lakini Leo nimepita maeneo ya Mbezi Luis hakuna kilichowekwa.
  4. chagaboy

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

    Wadau hakuna live Leo?
  5. chagaboy

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    Itarushwa live saa ngapi Wadau?
  6. chagaboy

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    Mkuu nisaidie juu ya Mnyika hapa Kibamba matokeo ni vipi?
  7. chagaboy

    JamiiForums Tanzania Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

    Nimekusoma naiona hapaSS5
  8. chagaboy

    JamiiForums Tanzania Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

    Nipe ratiba Kamil ya Kagame Cup mkuu
  9. chagaboy

    JamiiForums Tanzania Chama Cha Mapinduzi (Zanzibar) wajibu tuhuma alizotoa Lowassa

    Lakini mbona cwaoni wale wasemaji WA sikuzote
  10. chagaboy

    JamiiForums Tanzania Chama Cha Mapinduzi (Zanzibar) wajibu tuhuma alizotoa Lowassa

    Mzee muongo mno anahangaika kuongea hata hawezi anasema CCM oye watu kimyakimya amelazimika kusema chadema oye ndio wanaitikia oye, hahaha watajibeba
  11. chagaboy

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Postal code ya Tanzania Ni TZA
  12. chagaboy

    JamiiForums Tanzania BAVICHA yakamata Nchi

    Haturudi nyuma kamwe, mkumbukeni vita ni silaha basi silaa yetu ni shaada ya mpiga kura tujiandikishe kwa mapambano ifikapo October.
  13. chagaboy

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa: CHADEMA tutashiriki midahalo yote ya Uchaguzi Mkuu

    Mapambano na yaendelee
  14. chagaboy

    JamiiForums Tanzania Jaji Augustino Ramadhani hafai kabisa kuwa mgombea urais wa CCM

    Ulafi wa madaraka ndio unapata watu hata wanaacha heshima zao na kujidhalilisha hv?
  15. chagaboy

    JamiiForums Tanzania Uso kwa uso na mke wa rafiki yangu gesti

    Times za kutunga story eee
Back
Top Bottom