MAELFU ya wananchi wa mji wa Mwanhuzi, wilayani Meatu, mkoani Simiyu, wamehudhuria kwa wingi katika mkutano wa hadhara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), huku aliyewahi kuwa mbunge wa viti maalum mkoa wa Simiyu na Mkuu wa Wilaya (DC) za Meatu na Maswa, Rosemary Kirigini, akitangaza...