Recent content by chadema yangu

  1. C

    Stephen Wassira: Kada mkongwe wa CCM asiye na kashfa

    watanzania walio wengi ni wataalamu wa kushabikia lakin ni wavuvu kusoma ni wagumu kukubali wasiotaka kuyasikia wanapenda kuletewa habari zenye udhaifu wa mtu fulani lakin si uzuri wa mtu fulani lakin nasikitika kwa kuwa hatupendi kushughulisha akili zetu hasa sisi vijana tumekuwa mstari...
  2. C

    Revealed: Chimbuko la utajiri wa Lowassa hili hapa. Je, anafaa kuwa rais?

    Wasira pekee ndiye muadilifu heshima yako rais mtarajiwa
  3. C

    Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    wasira anafaa kuwa rais
  4. C

    Wassira: Nitagombea urais 2015

    mimi siku zote nitamuunga mkono mh wasira
  5. C

    Lowassa kawa lulu bungeni; wabunge wapanga foleni kumuona

    fanyeni analysis sio kung'ang'ania kitu kile kile wasira ndiye mwenye probability kubwa ya kusimamisha bendera ya chama
  6. C

    Lowassa kawa lulu bungeni; wabunge wapanga foleni kumuona

    yaani bado mna ndoto za lowasa wakati wasira ndiye rais mtarajiwanachekesha kweli
  7. C

    Stephen Wassira: Kada mkongwe wa CCM asiye na kashfa

    Wapendwa napenda kushare nanyi suala moja muhimu hivi majuzi rais baada ya kubadili baraza la mawaziri kuna waziri mmoja alinivutia sana hasa baada ya kuonesha uwezi katika kazi kwani aliibuka mara moja kwenye vyombo vya habari na kusema kuwa wataanza shughulikia suala la madai ya wakulima...
  8. C

    Kashfa ya escrow sasa CCM anayebaki msafi ni Mheshimiwa Wassira tu

    ndg zangu wanaccm ili kuweza kuendea kushika dola ni bora mkampitisha wasira kwenye nafas ya urais watanzania wamechoka ufisadi na wengi wamekuwa macho sasa hivyo basi suala la kumpitisha lowasa ni kuimaliza kabisa CCM na hiyo itakuwa advantage kwa upinzani. binafsi sijaona anaefaa ktk nafas...
  9. C

    Wassira: Nitagombea urais 2015

    ndg zangu wanaccm ili kuweza kuendea kushika dola ni bora mkampitisha wasira kwenye nafas ya urais watanzania wamechoka ufisadi na wengi wamekuwa macho sasa hivyo basi suala la kumpitisha lowasa ni kuimaliza kabisa CCM na hiyo itakuwa advantage kwa upinzani. binafsi sijaona anaefaa ktk nafas...
  10. C

    Wassira: Nitagombea urais 2015

    Inasemekana kuwa CCM imejipanga kurudisha imani kwa wananchi kwa kusimamisha mgombea asie na kashfa na mwenye uwezo wa kusimamia serikali usiangushwe au kuhujumiwa. Habari za kuaminika kutoka vyanzo vya ndani ya chama vinadai kuwa CCM haiko tayari kumpitisha kiongozi aliyechafuka tayari na...
  11. C

    Kete ya CCM urais 2015 naiona kwa Wasira

    for sure wasira deserve much kwani mpaka sasa hakuna mgombea anaefit kwenye kiti hicho zaid yake lakin pia we unaesema analala bungen tofautisha kulala na kusinzia yy pia i binadamu and how many times umemuona akilala bungeni?? je tangu yupo bungeni yy ni kulala tu?? huwa hachangii hoja?? acheni...
  12. C

    Waislamu Waamua kumwaga Ugali baada ya CCM kumwaga Mboga

    tena siku nyingine usirudie kuandika usenge kama huu!!! msitufanye ss waislamu mazuzu !!!
Back
Top Bottom