Recent content by chachu

  1. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na ACT Wazalendo fungueni kesi kupinga 15% kukatwa kwenye mishahara ya wafanyakazi wenye Mikopo HESLB

    Swala sio chama Fulani. Ni swala LA kujenga hoja na kupinga mifumo ya sheria kandamizi kwa waajiriwa.
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuoa nikiwa na miaka 23 ni sahihi wakubwa

    Sijakuelewa unataka mke au house mad Sent using Jamii Forums mobile app
  3. C

    JamiiForums Tanzania Jana ilikuwa siku ya Furaha kukutana na Graduate anachoma mahindi Barabarani

    Hiyo inaonyesha ni jinsi gani tunasoma elimu ya kukremishwa(elimradi kufaulu mtihani) power of thinking and creativity hamna. Hilo siyo jambo LA kusifu ni jambo LA kuombewa Mungu afungue mind set tufikiri sawasawa. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. C

    JamiiForums Tanzania KIBITI: Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mangwi wauawa kwa kupigwa risasi

    Jeshi LA Polisi linaposema lina intelligence Kali inapaswa kudhibiti jambo kabla ya tukio. Watu wakishapoteza maisha huwezi kuwarudishia uhai wao tena. Naamini hili jambo lipo ndani ya uwezo Wa serikali ikishirikiana na wenyeji Wa eneo. Just a matter of being serious.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa upelelezi aelezea alivyomnasa Tundu Lissu

    Juni 28 mwaka huu...!!!? Terrible kama mashitaka yamefunguliwa kabla ya tarehe yenyewe kufika.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Pwani: Siku ya pili ya Ziara ya rais Magufuli, kazindua Viwanda Vitatu na Mradi wa maji wa Ruvu

    Tungepata Ma Raisi Wa hivi tokea awamu ya pili nchi ingekuwa mbali. Big up JPM
  7. C

    JamiiForums Tanzania Pwani: Askari Wawili wa Usalama Barabarani wauawa kwa kupigwa risasi Kibiti

    R.I.P askari wetu. Ni majonzi haswa kwa familia ndugu zao wanauwawa
  8. C

    JamiiForums Tanzania Pwani: Askari Wawili wa Usalama Barabarani wauawa kwa kupigwa risasi Kibiti

    Hili swala lilianza kama masihara, na RPC Alichukulia easy sasa pamefikia papaya. Watu
  9. C

    JamiiForums Tanzania Hatimaye serikali yawa sikivu, local channels sasa zimerudi hewani bila malipo

    Hizo channel za local mnazosema zimerudishwa ni zipi!? Salio langu la startimes hapa Mwanza limeisha Leo hamna channel ya local inayooshesha zaidi ya TV1.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Traffic mwanza kuweni wabunifu.. ujio wa rais umekuwa karaha.

    foleni bado imekamata, km 1 nimetumia Massa Mawili, naenda km 15 sijui nitafika SAA ngapi
  11. C

    JamiiForums Tanzania Membe: Ngeleja ni tishio urais 2015

    MTOA MADA tueleze ni nini falsafa ya huyu mheshimiwa, je kwa muda aliokuwa madarakani amefanya na kusimamia falsafa ipi ambayo watanzania tunaweza kumkumbuka ili tumpe kura ya Urais. vinginevyo umeleta story za vijiwe vya kahawa.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Butiku: Mwisho wa CCM miaka 10

    Alisema: “Ukikaa watoto wako wajue umekaa pale kama baba wa wote... siyo baba wa kutafutia kazi (watoto) kwa magendo.” Ukweli unapaki kuwa ukweli, kwa nchi nyingi za Africa maraisi wanataka familia ziwe na maisha ya peponi kwa kuwa na tamaa bila kujua wao ni baba wa wote. Ni hatari imetokea kwa...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Watoto wamuua baba yao kwa fimbo

    Njaaaa....! Ni shida! Njaa huondoa subira Na busara. Hiyo imesababishwa Na ghadhabu ya Njaa.
  14. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa Kikurya tunajua kupenda

    Wanaume wa kikurya hawana unafiki kwenye Mapenzi. Wakipenda wamependa wakitema wanakutema jumla na kichapo juu. Pili wana wivu sana na nyumba ndogo, nyumba ndogo inatunzwa zaidi kuliko kwa bi. mkubwa(wa ndoa). wa
  15. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa Kikurya tunajua kupenda

    Wanaume wa kikurya hawana unafiki kwenye Mapenzi. Wakipenda wamependa wakitema wanakutema jumla na kichapo juu. Pili wana wivu sana na nyumba ndogo, nyumba ndogo inatunzwa zaidi kuliko kwa bi. mkubwa(wa ndoa). wa
Back
Top Bottom