Recent content by Chachu Ombara

  1. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Askofu Nkwande: Taifa halitakombolewa kwa nguvu, bali kwa haki

    Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mwanza, Mhashamu Renatus Nkwande, amewataka Watanzania, hususan vijana, kujenga taifa kwa misingi ya unyenyekevu, uadilifu na haki badala ya kutumia nguvu au ubabe, akisisitiza kuwa hiyo ndiyo njia sahihi ya kuleta ukombozi wa kweli wa nchi. Askofu Nkwande...
  2. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali Itusikie wazabuni, tunaidai TEMESA Morogoro tangu 2017

    Tokea 2017 ni muda mrefu, inabidi mfidiwe kabisa
  3. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Mwamvuli, mwanvuli na mwavuli lipi sahihi?

    Ukiambiwa utaje neno sahihi la Kiswahili, ungechagua lipi? A. Mwavuli B. Mwamvuli C. Mwanvuli Wengi hulitamka kwa kujiamini, lakini si wote huandika kwa usahihi. Wewe una uhakika na jibu lako?
  4. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania MwanaFA azomewa na wananchi baada ya kuanza kusifia Awamu ya 6 kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva

    Wananchi wakataa mapambio ya MwanaFa kwenye miaka 30 ya Bongo Fleva Katika hali isiyo ya kawaida, Naibu waziri wa Michezo, Sanaa...., Mwinjuma Hamis maarufu kama mwanaFa amezomewa na kukataliwa na wananchi waliohudhuria tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva, pale alipotaka kuanza kusifia na...
  5. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Kimondo: Amani" halipaswi kutumiwa kuhalalisha au kuficha vitendo vya ukandamizaji, mateso na ukiukwaji wa haki za wananchi

    Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Steven Kimondo, amesisitiza kuwa neno "amani" halipaswi kutumiwa kuhalalisha au kuficha vitendo vya ukandamizaji, mateso na ukiukwaji wa haki za wananchi. Akizungumza katika mahojiano maalum yaliyofanyika mkoani Mbeya, Mchungaji...
  6. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Arusha: Namkubali Dkt. Nchimbi, amejijengea taswira ya kiongozi anayesimamia haki na bila kuangalia tofauti za kisiasa

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Arusha, Elisa Mungure amesema licha ya kutokuwa mwanachama wa CCM, anamkubali Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Emmanuel Nchimbi kutokana na msimamo wake wa kutetea haki, demokrasia na umoja wa Watanzania. Akizungumza katika mahojiano maalumu na...
  7. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania John Heche aelezea sababu za Chama kutilia shaka kifo cha Dereva wake

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akitoa salamu za rambirambi katika msiba wa aliyekuwa dereva wake, Suez Maradufu, leo, Julai 5, 2026. amesema chama chao kina mashaka na kifo cha dereva huko kutokana na sababu mbalimbalimba. Pia soma TANZIA - Dereva wa John Heche akutwa amefariki...
  8. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Amani Golugwa: Kama chama tuna mashaka na kifo cha Maradufu

    Naibu Katibu Mkuu Bara - CHADEMA, Amani Golugwa amesema kuwa chama kinatilia mashaka kuhusu kifo cha aliyekuwa dereva wa John Heche Mama mjane na wana Tarime naomba niwaambie jambo moja. Na mnisikilize kwa makini mtuelewe. Sisi kama chama, tuna mashaka na kifo cha Suezi Maradufu. Tumefanya...
  9. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Kimondo: Amani ipo iwapo haki itatendeka

    Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Steven Kimondo, amesema haiwezekani taifa likapata amani ya kudumu ikiwa haki za kikatiba za wananchi na vyama vya upinzani zinaendelea kukandamizwa. Amesema viongozi wa serikali na vyombo vya dola wanapaswa kutambua kuwa amani ya...
  10. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Umemtambua nani hapa?

  11. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Heche: Kauli ya Katambi kusitisha mikutano ya kisiasa si ya kisheria

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amekosoa kauli ya Waziri Patrobas Katambi, akidai kuwa haina msingi wa kisheria na kwamba hana mamlaka ya kufuta mikutano ya vyama vya siasa. Kuhusu katazo la mikutano ya kisiasa, soma Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote...
  12. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Meya Kinondoni: Kuna mapungufu yaliyofanyika; Serikali iliwapa CCM Uwanja wa Biafra kwa ajili ya kuendeleza michezo

    CCM wezi sana, wamekwarua viwanja vyote vya wazi bado haitoshi wameiba Biafra kwa mgongo wa uwekezaji
  13. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kutambua maneno ya chuki (Hate Speech) unapoyaona au kuyasikia mtandaoni?

    Je, unaweza kutambua maneno ya chuki (Hate Speech) unapoyaona au kuyasikia mtandaoni? Kama ndiyo, vipi viashiria vyake? Pia soma Jinsi ya kutambua Kauli za Chuki "Hate Speech" Mtandaoni
  14. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala: Polisi msipomkamata na kumfikisha mahakamani Mzee Mwandambo, mtaendelea kupoteza zaidi uaminifu kwa umma

    Wakili Peter Kibatala amelionya Jeshi la Polisi kuwa linaweza kuendelea kupoteza imani ya umma iwapo halitachukua hatua za kisheria dhidi ya Mzee Clemence Mwandambo, kufuatia kusambaa kwa video zinazomuonyesha akiwa ameshika vifaa vinavyofanana na silaha za kuchezea huku akitoa kauli za kupinga...
Back
Top Bottom