Recent content by Chacha Willy

  1. C

    Polisi ang'olewa meno sita Shinyanga

    Kumetokea tukio la aina yake katika mgodi wa madini ya almasi wa Mwaduiuliopo katika wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga ambapo askari polisi wa kikosi cha kutuliza ghasia wa jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga Pc Idd Makame(25) amejeruhiwa vibaya mdomoni kwa kung'olewa meno sita baada ya kupigwa...
  2. C

    Mahakama Kuu imesimamisha mjadala wa Ripoti ya Escrow kujadiliwa Bungeni

    Nshomile ni wewe au umekua hacked?
  3. C

    Kwanini CHADEMA hawaongelei fedha za escrow?

    Mkuu Mnyika wiki ilopita tu aliliongelea na akasema atapeleka hoja binafsi kuhusu ufisadi huo kama usiposhughuliwa
  4. C

    Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

    huyo dada hana njaa ya vixen ana uwezo wa kuwalisha domo na wema na koo zao hadi uchaguzi wa 2020 hapo bosslady kanasa ulimboni
  5. C

    Diamond atanua na Diva tajiri East Africa nzima

    Yani huko alipo Madame na mama yake wanajidharau
  6. C

    Yaliyojiri kwenye Mkutano wa Mh. Mbowe Igunga 6/11/2014

    go go go CDM! Msomali lazi suruali ijae n'nya!
  7. C

    Waliohukumiwa miaka 13 na miezi 6 kesi ya EPA wameachiwa huru

    MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imewaachia huru wafanyabiashara watatu, wakiwemo mume na mke, waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha miaka 13 na miezi sita jela kwa sababu ya wizi wa Sh bilioni 1.1 katika Akaunti ya Madeni ya Nje ya (EPA) ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Walioachiwa huru ni mume...
  8. C

    Tumpongeze na kumshukuru sana Mr. Msafiri Msafiri kwa Tukio la jana Ubungo

    umesikia mandina wa Buku 7 FC wanajinadi Makonda ndo kamsaidia Mzee wetu!
  9. C

    Viongozi wa CHADEMA Shinyanga Mjini wahamia ACT- Tanzania

    Dotto hebu utuambie Makomba tangu lini kawa katibu wa CDM Solwa hebu tupe taarifa sisi wakazi wa Shinyanga ewe muhabarishaji.
  10. C

    Ukweli/taarifa kuhusu Escrow account live Star TV

    angalia mandina hawa wanavyojitekenya na kucheka hebu mwambieni alowatuma mrudishe pesa za wananchi.. #IPTL_BRING_BACK_OUR_MONEY
  11. C

    Harambee ya CHADEMA 'yamezwa vibaya' na harambee ya Pinda!

    OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imemaliza kazi ya ukaguzi maalumu katika matumizi ya mabilioni ya shilingi katika Mamlaka ya Bandari (TPA). Akizungumza Dar es Salaam jana, Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mbunge wa Ludewa, Deo...
  12. C

    Wajiunga na ACT

    makomba huo ukatibu wa Chama huko Solwa kaupata lini?
  13. C

    Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

    enyi mabwege hebu mnapopost mtoe mchanganuo wa hizo gharama za saa 1 hewani na ulinganishe na hizo shule..au una maana yale madarasa ya chini ya mibuyu.?
  14. C

    Kama CCM wanatamba wana mtaji wa wanachama milioni 5 basi UKAWA mkijipanga vizuri mna zaidi ya hao

    Hiyo milioni 5 haipungui kila mwaka..? Hebu wamtoe Mabina na wale walopigwa radi Kakonko watakua 4999996..
  15. C

    Tuhuma nzito kwa Abbas Mtemvu mbunge wa Temeke-CCM

    Is this AmE.RP,AE.,Igbo,cokney or what?
Back
Top Bottom