Grades in paper does not count, what matters most is in this current wirld is your performance in a given work. So is Hon. Sendeka delivering his services efficiently?
CCM walisema mkiwachagua upinzani wataleta vita, sasa ili kuhalalisha kauli yao na ili wasiaibike mchana, inabidi polisiccm wawe wazembe, wasifanye kazi vizuri ili matukio kama hayo yatokee na wasema tuliwaambia as if upinzani una miliki jeshi au polisi. Tunataka taarifa na hatua za waliolipua...
TBC inatumika vibaya sana, ni jambo la kushangaza ktk karne hii ya 21 wanaogopa mawazo ya mtu mmoja yasikike kwa watu wengine wakati katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ya 1977, ibara ya 18 inatoa uhuru wa kila mtu kutoa mawazo yake kwa maneno, maandishi, au kwa kuchora. Sasa hii mitambo...
Kama kuna watu wana nafasi kubwa sana ya kufikisha ujumbe kwa wananchi wao kwa gharama ndogo sana basi ni waheshimiwa wabunge wa CDM walioaminiwa na wananchi mwaka 2010 na kupewa majimbo/majiji makubwa hapa nchini. Kwa jinsi sayansi na teknolojia ya ICT ilivyokua kuanzia 2010 hadi sasa, Wabunge...
]Nimeshindwa kuunganisha kile alichokianda mhe. na hali ya mambo kwa sasa katika Taifa letu la Tanzania, nilifikiri vita vya imani vimeingia kwenye Katiba mpya, lakini hajasema hivyo. Hii ni hatari kama mtu anaweza kuamka asubuhi na mke wake na wakaamua kumwandikia mkuu wa nchi waraka wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.