Recent content by CEPHALEXIN

  1. CEPHALEXIN

    Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

    Mke wa mtu sumu ukigundulika, kama hujagundulika mbona sukari tu.
  2. CEPHALEXIN

    Azam yapata hasara baada ya mechi kusogezwa mbele

    Si wanajiita wao matajiri wa Chamazi sasa inakuwaje tena wanalalamika.
  3. CEPHALEXIN

    Wanaume wengi ni sumu katika mahusiano

    Huwa unawajuaje wanaume wenye maumbile mafupi
  4. CEPHALEXIN

    Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

    Bure gharama. Sasa gharama za bure wewe na Dada yako ndio hizo, huyo mwamba anafaa sana.
  5. CEPHALEXIN

    Waoaji wapo, tatizo wanawake mmezidi tamaa sana

    Wanawake kuomba hela imekuwa ni sehemu ya mtindo wa maisha yao
  6. CEPHALEXIN

    Wanawake tupunguze mdomo, tunawaponza waume zetu wenyewe

    Wape mistari Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
  7. CEPHALEXIN

    Wanawake tupunguze mdomo, tunawaponza waume zetu wenyewe

    Kusikia wamesikia ila kwa kiburi chao watajifanya hawajasikia Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
  8. CEPHALEXIN

    Ipi top 3 yako ya nyama tamu?

    Samaki choma Digidigi choma Dondoo roast
  9. CEPHALEXIN

    Onyango alivosikia Kisinda amerudi Yanga akaomba kuondoka, alivyosikia TFF wamemfungia akarudi Simba, asiyempenda karudi, sasa itakuwaje?

    Anaogopa kiberenge cha SGR Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
  10. CEPHALEXIN

    Naomba Ushauri: Nimejikuta nimeoa mke aliyepitiwa na wengi

    Acha ujinga, kupangwa foleni ni kitu cha kawaida kwa hiyo chukua mwanamke endelea kubanjua. Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
  11. CEPHALEXIN

    Mkurugenzi aliyefariki kwenye ajali Mbeya alionywa asiendelee na safari akadai ana haraka

    Kweli haraka haraka haina baraka. Yamekuwa yaliyomkuta, kilichobaki ni kumwombea kwa Mungu amlaze mahali pema peponi. Ameen. Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
  12. CEPHALEXIN

    Katika maisha, nimejifunza kuwa mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa

    Ni kweli asome hicho kitabu. Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
  13. CEPHALEXIN

    NBS mchakato wa Sensa unaendeshwa kisirisiri au Mmeamua kuwadanganya Wahariri?

    Michongo kila kona, ingekuwa ni kodi fulani tungeimbiwa kila siku.
  14. CEPHALEXIN

    Kuna muda unaweza kuishiwa pesa hadi ukatamani kumkopa mdada wa kazi

    Ulichosema ni kweli, sikia jambo lingine lakini sio kuchacha, hata bendi ya Wanamsondo waliwahi kuimba. "Maradhi yote ugua lakini kuchacha usiombee"
  15. CEPHALEXIN

    Urais wa Yanga twende na GSM

    Tungojee tuone hayo mambo mazuri yajayo.
Back
Top Bottom