Recent content by CEO 2b

  1. CEO 2b

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kujua gharama za ujenzi wa majengo mbalimbali

    Mkuu Goba kiwanja cha cha wastan sqm 600-800 vinapatikana kwa bei gani
  2. CEO 2b

    JamiiForums Tanzania Interview BOT: Msaada Aptitude Test

    Nachojua kuna watu wameitwa Jan 9, ila huwez jua wangapi sababu hawajapublish ndo maana nikauliza kwa mfano kuna post 5 wanawez ita wangapi.
  3. CEO 2b

    JamiiForums Tanzania Interview BOT: Msaada Aptitude Test

    Hv wakuu kwa mfano post wanataka watu watano, oral wanawez ita wangapi.? Wenye uzoefu.
  4. CEO 2b

    JamiiForums Tanzania Interview BOT: Msaada Aptitude Test

    [emoji23][emoji23]Kweli nauli hatujapewa, but jamaa kasema watakaoitwa kwenye oral wanawez pewa, hii tulifanya writen.
  5. CEO 2b

    JamiiForums Tanzania Interview BOT: Msaada Aptitude Test

    Hamn mkuu kuhusu msosi ni kweli, tulipiga chai asubuhi kabla ya paper na tulivopiga paper tukapiga msosi heavy kushushia maumivu then unatok unasepa[emoji23][emoji23][emoji23], ila kuhusu issue ya nauli ndo sijui mkuu.
  6. CEO 2b

    JamiiForums Tanzania Interview BOT: Msaada Aptitude Test

    Mkuu chai ukimaanisha uongo au [emoji23][emoji23]
  7. CEO 2b

    JamiiForums Tanzania Interview BOT: Msaada Aptitude Test

    Ipi tena mkuu, hii ya BOT nilikaa Magomeni mkuu ndo tunasubiri majib aisee.
  8. CEO 2b

    JamiiForums Tanzania Interview BOT: Msaada Aptitude Test

    [emoji23][emoji23][emoji23]Kufeli sio mbaya mzee, ingawa inauma
  9. CEO 2b

    JamiiForums Tanzania Interview BOT: Msaada Aptitude Test

    [emoji23][emoji23][emoji23]Kutaja position hapa sio poa, ila nilifanya Ijumaa tar 5 mkuu.
  10. CEO 2b

    JamiiForums Tanzania Interview BOT: Msaada Aptitude Test

    Ngoja tusubiri, maana si group letu tuliuliza tukaambiwa kama ambovyo hamkujua mtaitwa lini interview hii ya kwanza, hivyo hivyo hamtajua na inayofuata kila mtu alud kwao [emoji23][emoji23][emoji23]
  11. CEO 2b

    JamiiForums Tanzania Interview BOT: Msaada Aptitude Test

    Wakuu hv majib ni baada ya mda gani maana sio kwa zile paper [emoji23][emoji23]
  12. CEO 2b

    JamiiForums Tanzania Interview BOT: Msaada Aptitude Test

    Wakuu mwenye uzoefu wa maeneo ya jiran na hapo BOT, vp kuhusu maradhi kuna ya bei nafuu.? Nimeitwa pia.
  13. CEO 2b

    JamiiForums Tanzania Barua za ajira portal zinaandikwa kwa mkono au kwa ku type

    Tangazo linasemaje kwan mkuu?
  14. CEO 2b

    JamiiForums Tanzania Barua za ajira portal zinaandikwa kwa mkono au kwa ku type

    Shukrani
  15. CEO 2b

    JamiiForums Tanzania Barua za ajira portal zinaandikwa kwa mkono au kwa ku type

    Poa mkuu nitajaribu aisee aya mambo ya type print sign scan yanachosha
Back
Top Bottom