Recent content by Cenetor

  1. Cenetor

    JamiiForums Tanzania Siku njema kama alivyomaanisha Ken Walibora kwenye riwaya ya ''Siku Njema''

    "SIKU NJEMA" hii ni tittle ya riwaya ya kiswahili ya Ken Walibora.Kwake SIKU NJEMA ni ile ambayo itakuwa: 1.Hakuna vita,bunduki,mizinga wala mabomu maana hakuna adui,wavamizi wala wezi. 2.Hakuna vifo wala magonjwa. 3.Kutakuwa na maendeleo. NB:Kwake,maendeleo ni. 1.Kutokwepo kwa magereza maana...
  2. Cenetor

    JamiiForums Tanzania Wakati Mwingine unatamani kusikia Magazeti yetu yakiwa na vichwa vya habari zifuatazo

    Jilala mwenyekiti wangu! Umenikumbusha sana Riwaya ya "SIKU NJEMA" ya Mwandishi Ken Walibora. Katika riwaya hii mwandishi analalamikia maovu yalivyozidi katika jamii,anatamani sana atakayo amka na kukuta maovu hayo yameisha,akakuta hamna: 1.Hamna magera maana hamna wahalifu 2.Hamna mabundi na...
  3. Cenetor

    JamiiForums Tanzania If you want to destroy the civilization of a nation there are 3 ways...

    Family structure is the BASE!
  4. Cenetor

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Museveni wakubaliana kutosaini mkataba wa EPA

    Viongozi wenye misimamo na nia njema kwa mataifa yao ndio watakaoweza kuzilinda nchi zao against neo-colonialism
  5. Cenetor

    JamiiForums Tanzania Picha : Cheti kikionesha matokeo ya kuhitimu kidato cha nne Novemba, 2016

    Huko ndiko tulikofika ndg! Ndalichako kazi unayo !!
  6. Cenetor

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya siyo Kipaumbele cha Rais Magufuli - Mwakyembe(CCM)!!

    Inahitajika akili kubwa kuelewa akili kubwa! Akili ndogo haiwezi kuelewa akili kubwa japo akili kubwa inaelewa akili ndogo!! Mtamuelewa JPM Tu! You only need time.
  7. Cenetor

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Tanzania 2015/16 ni trilioni 23, za maendeleo ni Trilioni 5 tu

    bajeti ya 2013/2014 imetekelezwa kwa asilimia ngap ili kujua wapi pakuanzia? 22.480.4 ni ongezo la % ngap ya bajeti? wamejipangaje kuongeza na kukusanya mapato ya ndan kumeet bajeti ili kupunguza budget dependency kama alivyosema Mkuya? NB;kusoma bajeti na kuteleza bajeti vitu 2 tofauti...
  8. Cenetor

    JamiiForums Tanzania Hivi unaijua nchi ambayo ni kikwazo cha kutekelezwa kwa mpango wa One world order ?

    viko wapi vielelezo au ndo style ya kulogg off
  9. Cenetor

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya PAC kuhusu Escrow Kusomwa Jioni Bungeni

    Tumewatuma wabunge kutusemea bungeni,Escrow ni kipimo tosha kwa uzalendo wao kwa nchi name wananchi wao.
  10. Cenetor

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya PAC kuhusu Escrow Kusomwa Jioni Bungeni

    jamani umeme wamekataa!!
  11. Cenetor

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa Katiba Ubungo Plaza 16/11/2014, mtoa mada mkuu Jaji Warioba

    Mzee Warioba tumia haki yako ya kikatiba kujieleza wanaokuingilia wasome katiba plz..."Chpt.One,Part III,Act No' 15 of 1984,Art.6,Sctn 18, (a),(b),(c) na (d).Na pale unapozuiliwa ku-exercise haki yako ya kikatiba,hao wanaokuzuia wanavunja katiba ya Jamhuri ya (1977) ambayo ndiyo inatumika,hvyo...
Back
Top Bottom