Zungumza na mama mtoto mfanye taratibu za kupima D.N.A lakini sidhani kama ni busara kabla ya kujiridhisha kuongea na huyo baba,subiri mpaka majibu yatakapotoka ndipo utaratibu ufanyike' gharama za D.N.A sio kubwa' ni laki 3 baba,mama na mtoto' Tofauti zenu za kimapenzi zisifanye mkamnyima mtoto...
Muelekeze mkeo kwanza na umfundishe nini unataka' labda anaona unapenda dagaa kila siku hahahaa, issue ya usafi pia mfundishe kwa vitendo siku ukiwa free yawezekana mazingira aliyokukuta ndo anayaendeleza' inawezekana unatumia ukali ndo mana hakuelewi anaguna tu, fanya nafasi yako kwanza ya...
Wanaume ni Baba zetu, lakini nimeumia sana kuona baadhi ya wanaume wanaopewa heshima ya kuitwa baba kuwa na Roho za kinyama.
Kuna binti ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya msingi alibakwa na wanaume wawili, miezi 2 iliyopita baba mtu aliwafata vijana na police jamii na kuchukua pesa kwa wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.