Mwenye namba 0783554948

Mwenye namba 0783554948

lelo2387

Member
Joined
Jan 16, 2015
Posts
33
Reaction score
2
Ni jamaa anatumia email yenye jina la francis anadai yeye ni hr wa tanesco atakupitisha moja kwa moja ila utume 50000/=
 
Hiyo elf 50 amka alfajiri nenda sokoni nunua matunda chagua utayoona yanauzika haraka uje kuyauza kwa wasio na nafasi na kwenda sokoni kwa bei juu. Tunza mtaji kula faida achana na habari za kukimbilia kusign daftari kila asubuhi laa tafuta. Ajira kihalali.
 
Hahaha hata mimi huyo nimekutana naye achana naye tapeli mkubwa huyo
 
Watu kama hawa sijui kwa nini hawakamatwi na vielelezo vya utapeli wao vinakuwepo.
 
Pelekeni hiyo number kwenye vyombo vya usalama ili achukuliwe hatua za kisheria.
 
Ni jamaa anatumia email yenye jina la francis anadai yeye ni hr wa tanesco atakupitisha moja kwa moja ila utume 50000/=[/QUOTE
Tapeli tu nilimkamata mmoja wa style hii, anataka 50000 tu alidai yupo Crdb alafu anakufata badala mwenye shida ndo amtafute, alipokuwa police nikamwambia mtu kumbe naye alishakusanya kwake mpaka laptop wakambeba akaamishwa kituo mrefu yuko smart na tai.
 
Back
Top Bottom