Ule mwanga unaashiria matukio mawili muhimu ( huenda yametokea). La kwanza ni supernova ya Betelgeuse red star, au la pili ile astroid inayosemekana kuikaribia sana dunia imepita jirani na maeneo yetu imetoa mwanga kutokana na friction. Tutapata uhakika zaidi kutoka kwa wataalam wa sayansi za...
Wabunge wenye miaka zaidi ya 65 ni vyema mkaaga kama mwenzenu alivyofanya. Ng'atuka kwa heshima usisubiri ukaaibishwe na vijana wa miaka 30 jimboni. Wastaafu anzeni kuaga, mheshimiwe na vizazi vijavyo, mkisubiri kushindwa mtashindwa na kuzomewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha....jamaa wa IT sio kabisa. Nimeapa kutopanda hayo magari. Na usiombee upande left hand na anaendesha mrundi au mrwanda ni fulu kuyumba na kutoka nje ya road
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu,
Nawasalimu nyote. Wiki iliyopita nilisafiri kwenda Dar. Na kwa kuwa idadi ya wagonjwa wa Corona ni kubwa kwa Dar, ilinilazimu muda mwingi kukaa ndani na kukwepa maeneo yote yenye msongamano. Baada ya siku chache ilinilazimu niende kariakoo. Nilijaribu kukwepa kutumia mabasi ya mwendokasi...
Rais hana mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, mkurugenzi wa halmashauri, Ras, Das wala wabunge na madiwani wa kumsaidia kuondoa kero za wananchi. Babalao alibugi kwenye uteuzi. Hawa viongozi wa kwenye halmashauri mbalimbali ni mizigo ya vifusi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera Uhuru. Ni bora kuchukua tahadhari mapema kabla hali haijawa ya hatari. Tukumbuke kila nchi inapambana kulinda raia wake, hakuna msaada likilipuka hapa kwetu hili KORONA
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakubwa wamebugi kwenda na maburungutu kumtoa Mashinji. Inaonekana mpango haukuratibiwa na watu makini. Ilitakiwa baada ya chadema kuanzisha michango mitandaoni wanachama wa ccm wangefanya hivyo hivyo. Pesa angepeleka mtu wa jirani wa Mashinji na mwanachama mmoja wa kawaida....Kwa kufanya hivi...
Ina maana Sumatra imekufa. Hii nchi kuna vimamlaka vya ajabu lengo kupeana vyeo. Haya sasa anayeshughulikia usafiri wa vyombo vya majini anaitwa nani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho ni kipimo cha uchu wa fedha na madaraka. Wewe mkurugenzi, katibu tawala, mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, mwenyekiti wa bodi, katibu mkuu, nk umepewa dhamana ya uongozi wa kuwatumikia wananchi. Leo hii kwa kuongozwa na uchu wa pesa unaacha nafasi uliyoaminiwa na watanzania kupitia rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.