Sikiliza mdogo wangu nikwambie! kwanza umejitahidi kupata hizo marks, ni wengi wameztaman ila hawakupata, Wizara imesema inachukua alama za chini za IV ya "33 & 34" kwa usemi huo wewe vigezo unavyo, cha msingi lipa hyo 10000 yao kwa Mpesa then nenda ukafanye registration! hao wanaokwambia...
Hata mie nmeiona hyo kwenye official facebook page ya NACTE wakionesha kwamba muda wa kuanza kuomba ni sasa na deadline ni 31st july! na maombi yote itakuwa kwa njia ya mtandao wa CAS (central admission system) lkn wizara ya afya bado cjaona hlo tangazo vle vle
Govt inakupa 2.6mil out of 3.7 mil ambayo ni ada y chuo....the remaining 1.1mil unaongeza mwenyewe.....ukiongeza michango mingine ya chuo inazd hapo 1.1mil.....mf. bima, serikali ya wanafunzi , hostel ,e.t.c .....thats it.
On top of that, wizara ya elimu inatoa lini nafasi za kuomba kujiunga na vyuo hivi vya ualimu? naombeni kusaidiwa, na kama wizara haitoagi hizo nafasi, un apply kupitia wapi!? Natanguliza shukrani.
Kumbuka waweza enda chuo na div III yako ukatoka na GPA nzuri zaidi ya aloingia na div I. kama chuo ni kibovu ni kibovu tu hata kama utaingia na div I na kama ni kizuri watatoka wazuri hata kama wameingia na div III.....
I think he should give them the deadline, that,if you won't do anything up to this date, then am gonna release it publically! Maybe it will enforce them make a step!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.