First year ukiingia tu chuo kiasi hkii unapewa mkononi" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

First year ukiingia tu chuo kiasi hkii unapewa mkononi"

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mwanamabadiliko, Sep 4, 2012.

 1. m

  mwanamabadiliko JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 80
  du ukiingia tu unapewa 702,500.00 Shilingi laki saba na elfu mbili na mia tatu. mi nakwambiaje hata wadogo zako wa shule za kata utawasomesha,utanunua ni vijiunga vya ugali upeleke home. uwezi watupa home, mana hali ya maisha ni ngumu.BOOM is BOOM. maisha bora kwa kila mwanafunzi/ usitafute demu, watamaliza zote, mana nywele tu za kimasai kusuka 15000 na kila baada ya siku 3. saluni almost kila siku. skin jeans shoping kila jmos. msosi wao chips mayai, kuku. simu anataka blackberry. waambie wazazi kijijini wakutafutie mke.
   
 2. m

  mwanamabadiliko JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 80
  du mbona kama zinatosha kuolea
   
 3. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  he he heeeee ntapiga msosi wanguvu we acha tu
  [​IMG]
   
 4. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  wewe unasoma chuo gani iyo hela siyo iyo ni nyingi sana asee ni kama laki sita na kitu iviiii
   
 5. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  asikudanganye uyo ni laki sita na kitu, chuo cha laki saba labda bodi ya mikopo ni yake
   
 6. j

  jackson george Member

  #6
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  unazungumzia kwa yule wa asilimia mia au
   
 7. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  hainaga asilimia iyo kaka mi mbona nilipewa 0 aslimia ila nakula bata mwaka wa tatu sasa
   
 8. paul kitereja

  paul kitereja JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Acheni kutiana ujinga nyie...! kwa hiyo mnawaza kuingia chuo ili mpate hela..mtaona kama hizo hela zitakutosheni wenzenu wanalia hawana hela huku boom limekata halafu wewe unawaza kufanyia ujinga!!! wazeni kusoma!! kweli watanzania bado sanah
   
 9. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  WANAONA nyingiiiii subiri watarudi jamvini
   
 10. paul kitereja

  paul kitereja JF-Expert Member

  #10
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hawajui kama hela za bodi ya mikopo zina chuma ulete!!
   
 11. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #11
  Sep 4, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  kilimanjaro baridi !! Daily
   
 12. s

  souvenir Senior Member

  #12
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 24, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hii kitu inawezekana ina ukweli nimekuwa najiuliza sana kuhusu utumiaji wa hizi pesa za mkopo sikupata jibu leo umenifungua akili
   
 13. paul kitereja

  paul kitereja JF-Expert Member

  #13
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ha ha ha ha!! ni kweli kaka wewe umeona wapi mtu anapewa laki 7 halafu kwa miezi miwili hela yote imeisha!! mimi nawashauri hawa wanafunzi kama wakipewa zile hela za bodi wasizichanganye na zingine maana hela za bodi hazieleweki
   
 14. C

  CebJoe Member

  #14
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmh! Bac kama ndivyo...hata hiyo elimu yawezekana ina chuma ulete ndani yake.
   
 15. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #15
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  BOOM halitoshagi,hata upewe milioni ....kila mtu anapata hela at the same time...so wewe utaona unaspend kawaida tu,,,utataka flat screen,mara subwoofer,utataka uwatoe wadogo zako,ununue zawadi za home,upendeze kama wenzako,ule vizuri.....baada ya wiki 3 tu,,BOOM kwishnehi.just be organised know ur goals utafanikiwa....choose gud friends,stick with ur budget and know that umekuja mwenyewe,,,,kila mtu na mishe zake.
   
 16. Msherwa

  Msherwa JF-Expert Member

  #16
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 1,344
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  The System is Loading Your Brain Capacity, Please Wait...
   
 17. m

  mkonya Senior Member

  #17
  Sep 4, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 117
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ukipata 2mia ukikosa jutia hahaha
   
 18. E

  E.c.K Member

  #18
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hellow wana jamii! Mmh! though ni pesa mingi usipojipanga kwa ma2mizi zitakata hata kabla ya semista ya kwanza kuisha, so watch out!!!
   
 19. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #19
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,640
  Likes Received: 2,003
  Trophy Points: 280
  Unga dona, maharage, water guard, mkaa gunia moja, unga wa ngano, mafuta ya kupikia, sabuni......nipo nawaza hii plan B yangu!
   
 20. TZ boy

  TZ boy JF-Expert Member

  #20
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 624
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  umenifurahisha sana hapo
   
Loading...