Recent content by cDNA

  1. cDNA

    Mchinjaji wa Islamic State 'Abu Sayyaf' naye amechinjwa

    Habari njema hiyo. Inapasa kufyeka ISIS wote bila kumsahau mkuu wao Baghdad.
  2. cDNA

    Marufuku ya Trump kwa nchi saba, ni funzo katika imani zetu za kidini

    Tatizo wengi wao wamezaliwa Tz, wamekulia Tz na hawajasafiri kwenda nchi hizo wakaona kuwa wao waafrika ndio wafia dini.
  3. cDNA

    Marufuku ya Trump kwa nchi saba, ni funzo katika imani zetu za kidini

    We ni mjinga wa kiarabu na hivyo kila linalosomwa ktk lafudhi ya kiarabu kwako ni Qurani. Ujinga umekutopea mpaka washindwa kujenga swali. Eti Kunut inasomwa na kitabu gani? albadiri inasomwa na kitabu gani? Toka lini kitabu kikaweza kusoma! Sasa kama hujui kuwa duniani kote hakuna kitabu...
  4. cDNA

    Marufuku ya Trump kwa nchi saba, ni funzo katika imani zetu za kidini

    Hakuna mtu yeyote anayetumia Qurani kupigia ramli. Wewe ni mjinga wa lugha ya kiarabu kwa hiyo kila utakachoona kimeandikwa kwa kiarabu wadhani ni Qurani. Kwa hiyo kila kinachoandikwa kwa herufi a, e, i,....b, c,..z ni Kiswahili! Pole sana kijana, nenda ukaendelee kubebeshwa mizigo ya chuki...
  5. cDNA

    Marufuku ya Trump kwa nchi saba, ni funzo katika imani zetu za kidini

    Propaganda mnazomezeshwa kanisani ili kujenga chuki mioyoni wakati huo huo mkijifanya ati mwafunzwa upendo. Ukitekenywa tu waanza kutema sumu ha ha haa... Post yako imesadifu aya hii ktk Qur-ani: "...They (Christians) will spare nothing to ruin you (Muslim); they yearn for what makes you...
  6. cDNA

    Marufuku ya Trump kwa nchi saba, ni funzo katika imani zetu za kidini

    Huo ni ujinga na upumbavu hivi mkristo amuonee wivu mwislam kwa lipi kwa kuwa karibu na majini au kwa kuwa magaidi au kwa kuradhimisha kuchinja eti mnauharali too,au kwa kuchinja watu hv kuna kosa gani ww ukijiita mpumbavu?kwa kuwa upande huo?. Kuradhimisha = kulazimisha Mnauharali = mna...
  7. cDNA

    Marufuku ya Trump kwa nchi saba, ni funzo katika imani zetu za kidini

    Ndio maana nikasema wakristu washirikina (waabudia masanamu ya Bikra Maria na Yesu) maelezo yako yanasadifu maneno tajwa hapo juu. Bila shaka utakuwa umejaza kämÄsi kwenye ubongo ndio wazitumia ktk kutafakari na kupembua mambo. Yaani shetani ajifananishe na kuchukua umbile la Mungu! Mungu awe...
  8. cDNA

    Iran;Marekani ilitaka kutushambulia 2001 lakini wakashindwa

    Wewe Shia kila siku waleta propaganda zako za Kishia mara Kuwait ina walimu 4 wa physcs/math, mara Lebanon kufanyaje mara, n.k...Kazi unayo kwa kweli. Si uende tu huko Iran ukaishi kwa Ayatolah.
  9. cDNA

    Huyu ndio Faru Fausta wa Ngorongoro,atimiza miaka 54,aishi chini ya ulinzi wa kijeshi masaa 24

    Huyu hapa ndiyo Faru Fausta, kipofu (Gazeti la Mtanzania January 25, 2017) na si Giant kama yule wa Sudan (Faru Sudan)
  10. cDNA

    Huyu ndio Faru Fausta wa Ngorongoro,atimiza miaka 54,aishi chini ya ulinzi wa kijeshi masaa 24

    HAKUNA FARU WA NAMNA HIYO TANZANIA, HUYO FARU NI WA SUDANI NA UMRI WAKE SASA NI MIAKA 44 TU (SIO 54) NA JINA LAKE NI FARU SUDAN. NA NDIYE DUME PEKEE LILOBAKI (KTK SPECIES YAKE) DUNIANI. Hayo maelezo yako yote unaweza kuwa umeyatoa www.muungwana.co.tz www.udakuspecially.com ambao wamepotosha...
  11. cDNA

    Hivi Starehe hasa katika nchi za kiarabu ni zipi kama hawana hivi?

    Maelezo yako yamesadifu aya hii ktk Qur-ani; "Indeed, Allah will admit those who believe and do righteous deeds (to) Gardens, flow from underneath it the rivers, but those who disbelieve they enjoy and eat as eat the cattle, and the Fire (will be) an abode for them" (Qur-an: 47:12) Generally...
  12. cDNA

    Mahakama yapiga chini amri ya Donald Trump kuzuia wananchi kutoka mataifa saba ya Kiislam kuingia US

    Sheria haijagusa nchi tajiri kama Saudia, UAE, Kuwait n.k. kwa makusudi...Hapo ndo utajua nguvu ya utajiri ktk ushawishi wa siasa za Ulimwengu! Yesterday (January 27), President Donald Trump signed an executive order banning immigration from seven countries, all of which are predominantly...
  13. cDNA

    Zitto: Thamani ya Tshs dhidi ya Dola inazidi kuserereka. Leo $1=Tshs 2235 Nini Kinaendelea?

    Dola inadhibitiwa na hivyo imeanza kushuka. Kama ulikuwa hujachenji dola zako utakuja chenji kwa 2170.
  14. cDNA

    Viwanja vinauzwa salasala

    PN ndio nini Dada?
Back
Top Bottom