Kwa namna gani vijana wanaweza kutumia uwezo wao ipasavyo ili kutimiza ndoto/njozi/malengo yao bila kurudishwa nyuma na mazingira au changamoto katika jamii wanayoishi? Swali hili limekuwa likishughulisha kituo chetu cha ushauri, katika juhudi ya kuwezesha vijana katika maisha yao. Naam...
Habari wana Jamii,
Ninatafuta mtu anayeweza kuendesha nyumba ndogo ya wageni iliyoko mjini Mwanza, maeneo ya Buswelu. Mwombaji kazi awe na elimu na uzoefu katika mambo ya biashara na kompyuta (kwa ajili ya uendeshaji wa biashara hiyo na kuitangaza katika majukwaa tofauti tofauti likiwemo la...
Napenda kuongezea kwa wenzangu waliougusia kutumia mtandao/mitandao ya jamii. Ukitathmini kundi la watu unaowalenga katika biashara yako na kundi la watu wanaotumia huduma yako tayari (wateja), unaweza kuona namna ya kutumia mtandao kwa fanaka zaidi (je, wanatumia mitandao gani? Unaweza...
Nami napenda kukutia moyo katika utafutaji wa kazi, maana changamoto hii inaweza kumpata mtu yeyote. Tofauti na sehemu za kutafutia kazi kama TaESA, ZoomTanzania na sehemu zilizotajwa na watangulizi wangu, tazama pia kazi ambayo haujasomea lakini unaweza kuifanya, k.v.
Customer Care kwenye...
Habari, wanajamii?
Kuna wazo moja ninapenda nililete kwenu nikitumai kubadilishana mawazo nanyi.
Kuna huu mfumo, uliojiimarisha hasa katika nchi za magharibi, wa kujisomesha kwa kufanya kazi au wa kuwekeza katika biashara, bila kuitegemea biashara hiyo kiuchumi. Jambo hili linawawezesha - hasa...
Ushauri unatanguliwa na pongezi za kuhitimu elimu ya sekondari. Uwanja sasa ni wako, katika kujitimizia njozi zako za maisha na kutoa mchango wa maendeleo katika jamii inayokuzunguka. Maswali ya kujiuliza ni kuwa: je, unajiona wapi baada ya miaka mitano katika taaluma yako au baada ya kumaliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.