Hayo ndo mambo ya magazeti ninayoyaongelea. Mnaambiwa muache mnavunja sheria, mnalazimisha.... Asa mnategemea nini. Wafanye mambo ya maana hii haiwasaidii kitu
Hivi viongozi wa vyama pinzani mbona wanajiangusha? Muda kama huu ambapo wananchi hawana imani na chama tawala ilibidi wao ndo waongoze kutoa hoja zenye msimamo. Hata kama hawapo bungeni, wangetumia muda huu kutoa maoni na kampeni ndogondogo za kuunga mkono wananchi.
Ila naona wao ndo kwanza...
Benki za simu kama M-Pesa zilianzishwa ili kiwasaidia wananchi ambao hawana uwezo wa kufungua akaunti benki au hawaishi karibu na benki kuwawezesha kuweza kutunza pesa kwa usalama na toka zianzishwe zimeongeza sana mzunguko wa fedha hasa kutoka mijini kwenda vijijini.
Kuna vijiji ambavyo hakuna...
Mi ni fundi wa vyote ushauri wangu sasa ni hiv, kama una2mia maji yenye chumvi kwa ujenzi ni vema ukachanganya huo mchanga na cement na chokaa wakat wa plaster ili utakapopaka rangi idumu. Na km maji hayana chumvi changanya mchanga na cement piga plaster yako ikikauka vizur km una uwezo skim kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.